Malalamiko ya upinzani lazima yashughulikiwe

wakimataifa.

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
1,625
558
Kipindi cha miaka minane viongozi wa CHADEMA wamepiga kelele sana likiongoza gazeti la Mwanahalisi aka kubenea kwa ufisadi papa mh. Lowassa.

Mpaka serikali ikaonekana inamuogopa Lowassa sasa serikali hii itabidi ishughulikie malalamiko ya wanasiasa nguli CHADEMA ya kuona namna ya kumshtaki Lowassa kwa ufisadi.
 
Kwa hilo hata mimi nawaunga mkono chadema kwani walilalamika sana kuhusu ufisadi wa mh Lowassa.

Makosa ya kutumia madaraka vibaya Mramba na Yona utawala wa mkapa awamu ya nne walishtakiwa sioni tatizo Lowassa kushtakiwa awamu hii ya tano.
 
kwa hilo hata mimi nawaunga mkono chadema kwani walilalamika sana kuhusu ufisadi wa mh lowasa.
Makosa ya kutumia madaraka vibaya mramba na yona utawala wa mkapa awamu ya nne walishtakiwa sioni tatizo lowasa kushtakiwa awamu hii ya tano

uti inakusumbua
 
Kipindi cha miaka minane viongozi wa CHADEMA wamepiga kelele sana likiongoza gazeti la Mwanahalisi aka kubenea kwa ufisadi papa mh. Lowassa.

Mpaka serikali ikaonekana inamuogopa Lowassa sasa serikali hii itabidi ishughulikie malalamiko ya wanasiasa nguli CHADEMA ya kuona namna ya kumshtaki Lowassa kwa ufisadi.

Hahahaha CCM bwana baada ya kuona uzi kule umekunyima usingizi kaamua uanzishe kapropaganda ka kishamba hapa..sio nape na mwakyembe waliosema wana ushahidi wa kutosha dhidi y Lowasa?
 
Fisadi ni kikwete. Ndo maana pombe hawezi mgusa lowassa.hili na mungu analijua mahakama ya mafisadi itabaki historia majizi ya ccm ndo mafisadi wakubwa
 
Fisadi ni kikwete. Ndo maana pombe hawezi mgusa lowassa.hili na mungu analijua mahakama ya mafisadi itabaki historia majizi ya ccm ndo mafisadi wakubwa

ajabu eti leo mnamtetea lowasa.
hivi nyinyi ni wa kutawala nchi? si mtazungusha kama pia chama ambacho hakina msimamo hakifai kwa nchi maskini.
kwa taarifa yako mahakama ya mafisadi itakuepo subiri tarehe 4/2/2016
 
Back
Top Bottom