Malalamiko juu ya malipo kwenye visumbuzi (DECORDER)

Malalamiko juu ya malipo kwenye visumbuzi (DECORDER)

TUANDAMANE KWENYE MITANDAO JAMANI KATIKA HILI
WATUWEKEE COUNT DOWN TIMER...SIO KUTUCHARGE KWA MWEZI..[emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]
 
Contintinental Raha Sana
Kama unataka local channel unazipata bure kabisa
 
Sorry wadau, Hiyo TV1 ni ya nani yeye kuwa inatizamwa for free hata kama hujalipia?
 
TCRA sijui wanafanya nini
Mkuu, hao ndio hakuna kila kitu. Huwa nasema taasisi zetu za umma zingetambua kuwa wajibu wao namba 1 ni kuwatetea watanganyika na kuhakikisha maslahi yao yanalindwa. Lakini hao unaowataja wamejipa kazi ya kukimbizana na wanaomsema sizonje mitandaoni! Binafsi niliwahi kuwasiliana nao nikawapa meseji za hawa matapeli, nikawauliza inakuwaje hawa wezi wanatuuzia hata channel ambazo wao tcra na serikali walitudanganya kuwa zingekuwa bure? Hawana wanachofanya juu ya hilo. Nishaamua kurudi kwenye dish ninakomaa na FTA channels, ila kwa sababu nilikuwa na hayo 'majini' ya star times na continental huwa wananitumia meseji zao za kitapeli.
 
Mzee channels zaidi ya 40 kwa hiyo pesa ni kidogo startimes ni shiida
Waweke time count down kumbuka kipindi cha tritel ujamaliza dakika wanakata hela ya dakika tunataka tulipe kadri kwa kuzingatia muda sio kulipia hata kama hutumii
 
Back
Top Bottom