Malaika ndio huo mwanga mweupe!?
Na kwanini watu hawahamaki wote vichwa mbele!
Ni habari ya mwaka 2015 pia hii, kuna usanii hapaNimeshangaa sana watu wasishtuke na huo unaodaiwa mwanga wa malaika. Mistari iko vilevile, basi tufanye waumini ni watiifu, hata kuwatazama au kuwaangalia malaika hawataki?
Ni habari ya mwaka 2015 pia hii, kuna usanii hapa
Uliweza kupeana mikono kwa salam? Wanaongea lugha gani?hiyo siku nilikuwepo hapo church, ni kweli na mie ni mmoja wapo niliona live.
Prophet Shepherd Bushiri told congregants at this Enlightened Christian Gathering (ECG) in South Africa to see live the Angels appearing in church during his sermon.
The vastly rich Bushiri who boasts of a private Jet and numerous mansions in Zambia, Malawi and South Africa explained that in he spiritual realms, demonstration of power is so vital especially to all the doubting Thomases and that biblical Elijah is the spectacular example among them all when he demonstrated the power of God before the prophets of Baal.
Mkuu umetisha malizia ..Kondoo wa Bwana.Hivi ni nani aliwapa Wakristo jina 'kondoo'?
Wacha shuhuda za uwongohiyo siku nilikuwepo hapo church, ni kweli na mie ni mmoja wapo niliona live.
Sipati picha yaani kila mtu anaendelea na mambo yake hata kushangaa hakuna. Hao malaika labda wamezoeana.Nimeshangaa sana watu wasishtuke na huo unaodaiwa mwanga wa malaika. Mistari iko vilevile, basi tufanye waumini ni watiifu, hata kuwatazama au kuwaangalia malaika hawataki?