Malaika waonekana kanisani

Dini na wapiga ramli wote lao moja

Wte hawa wanatumia ngvu zilizofichika

Wanadini wapandisha mashetwain wanaita roho mtakatifu

Wapiga ramli wakipandisha Mashetwain waitwa pepo mchafu

Hawa watu ni wafanyabiashara ya kuuza Mashetwain
 
Amewapiga picha hao malaika ?? Wakoje ??
Kuna anayefaa kuoa ? Was kike au wakiume.
 
Kufuru, malaika wanavaa vimini
 
Malaika ndio huo mwanga mweupe!?
Na kwanini watu hawahamaki wote vichwa mbele!

hata video yenyewe haina uhusiano mbwembwe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…