Good Comment...Ila Nafikiri hata mwenye Hotel atakuwa anajua hili kuhusu usalama wa eneo hilo...kama unaweza wekeza pesa mingi namna hiyo...Security lazima.
Kuna Ile ingine inaitwa Lavena...uko luchelele mwisho kabisa..Jan nilikuwa uko...wakati naangalia maji na jua linatuama...mara mamba huyoo kwenye sehemu wanapo ongelea watu..akipita pita machoo juu...Nilisema sitofika hapo mpaka watakapo weka at least fance kuonyesha mpaka wa watu kuongea...huyu kiumbe alikuwa kama mita 70 tu ufukweni.

Mkuu asante sana naomba utuwekee rates ya yake hapa ili nasi tujichange. Ila jina lako tu ni Secondary niliyosoma Mwanza asanteMalaika Beach Resort Mwanza...Jamani Hapa Ni Kiboko.
Mkuu asante sana naomba utuwekee rates ya yake hapa ili nasi tujichange. Ila jina lako tu ni Secondary niliyosoma Mwanza asante

Malaika Beach Resort Mwanza...Jamani Hapa Ni Kiboko.
wap majengo wewe?Mambo ya Lavena Beach Mwanza
Good Comment...Ila Nafikiri hata mwenye Hotel atakuwa anajua hili kuhusu usalama wa eneo hilo...kama unaweza wekeza pesa mingi namna hiyo...Security lazima.
Kuna Ile ingine inaitwa Lavena...uko luchelele mwisho kabisa..Jan nilikuwa uko...wakati naangalia maji na jua linatuama...mara mamba huyoo kwenye sehemu wanapo ongelea watu..akipita pita machoo juu...Nilisema sitofika hapo mpaka watakapo weka at least fance kuonyesha mpaka wa watu kuongea...huyu kiumbe alikuwa kama mita 70 tu ufukweni.
jamani mtuwekee na rates basi ili iturahisishie zaidi