MAKWAIA,umeamua kuwa MNAFIKI !!

MAKWAIA,umeamua kuwa MNAFIKI !!

Mzee Makwaia endelea kukaza hivyo hivyo. Unaambiwa siku zote ukiona adui anasema acha kufanya jambo fulani, basi inabidi uzidishe kufanya jambo hilo hilo maradufu.

Binafsi navutiwa sana na mijadala yake na uwa sikikosi kipindi cha huyo mzee. Na kwa sasa ni moja ya vipindi ambavyo vimepata udhamini mkubwa wa makampuni makubwa nchini. Just for the record.

Huyu mzee huwa ni de.mu wa nani kati ya mkulu wa ka kaya na ile inafanana na mambaa???
 
Kazee kajinga sana haka ukitizama hiko kipindi chake unaweza piga mawe tv
 
MaUkawa yanaanza kupoteza mwelekeo ona sasa yanarudi kumshambulia mzee wa watu yanataka kumfundisha kazi nyie watanzania wameshawashtukia kua ni wahuni wa kutupa kamwe mtaungwa mkono na wavuta bangi si mtu mwenye akili timamu,Mzee Makwaia chapa kazi wapuuze waroho wa madaraka hao wanataka kumwaga damu ya watanzania kwa kusaka madaraka,piga kazi watz tupo nyuma yako
 
Pole yenu.
 

Attachments

  • 1397848737044.jpg
    1397848737044.jpg
    33 KB · Views: 147
Mkwaia huwa akiongelea Ukristu ndpo anaposema dini za kikoloni.ila akiongelea uislam anongelea uzalendo na uafrica...sasa km hawa ndiow achambuzi wasiojua kuwa uislam na Ukristu ni dini za kigeni ..na pi akujaribu jua dini gani ililletwa na wakoloni ambao dini hiyo imeanzia kwako..Ukristu angalau ungeletwa na Waisrael...au angalau Wagiriki pengine ingekuwa na ukaribu wa asili ya Ukristu na Mkoloni aliyeifikisha..hao wengine wameuchukua Ukristu tuu km sisi..au km wachaga wanavyojenga makanisha huku wakinunu maeneo na kujitanua kila pande...?
 
Ndugu wana jamvi huyu mzee aneendesha kipindi cha Je,tutafika anaendesha kipindi au kampeni za ccm ?
Nijuavyo mwendesha kipindi anapokaribisha wageni yeye hawimzunzaji mkuu ila kutoa nafasi kwa wageni na kuwagawia muda wa kuzungumza lakini ukiangalia mzee Makwaia ktk kipindi chake yeye anaita watu waongee kama kijie cha wahuni tuu hakuna mada inayojengwa.
vNashauri kama mzee makwaia hawezi kuendesha kipindi kifungwe hakuna faida.Haiwezekani kila siku anaita watu wa mtazamo mmoja tuuuu!

Ili kipindi kiwe na mvuto na changamoto lazima uite watu wenye mitazamo tofauti vinginevyo mzee ameamua kuwa Mnafiki.ANAKERA.

Huyu mzee ni kada wa ccm .anajitoaga fahamu linapo kuja swala la ccm .halafu kibaya zaidi kwa uzee wake ndio kabisa anajisahau mpaka anakuwa kama yuko pale ccm lumumba .anakunywa kahawa na kawawa na thabit kombo .
 
Back
Top Bottom