swagazetu
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 4,253
- 1,475
Ndugu wana jamvi huyu mzee aneendesha kipindi cha Je,tutafika anaendesha kipindi au kampeni za ccm ?
Nijuavyo mwendesha kipindi anapokaribisha wageni yeye hawimzunzaji mkuu ila kutoa nafasi kwa wageni na kuwagawia muda wa kuzungumza lakini ukiangalia mzee Makwaia ktk kipindi chake yeye anaita watu waongee kama kijie cha wahuni tuu hakuna mada inayojengwa.
vNashauri kama mzee makwaia hawezi kuendesha kipindi kifungwe hakuna faida.Haiwezekani kila siku anaita watu wa mtazamo mmoja tuuuu!
Ili kipindi kiwe na mvuto na changamoto lazima uite watu wenye mitazamo tofauti vinginevyo mzee ameamua kuwa Mnafiki.ANAKERA.