Makutano Show
Member
- Aug 3, 2012
- 21
- 65
Mimi majibu yake yalinikera, huyu dogo MAKAMBA ni msanii, mfano :jana wakati fina anatoa shukrani kwa JF kwa kutuma maswali yeye january alidai eti haijui jamii forum na hajawahi kuisikia akawa anauliza hivi , i quote inaitwa jamii forum au JAMBO FORUMSafi sana fina tuna shukuru sana kwa mrejesho! Nimeyapenda majibu ya j.makamba sipingi maana ni mawazo yake binafsi!
Naomba utwambie mapema kipindi kijacho nani atakuwepo ili tuandae maswali mapema!
...............................
Mimi majibu yake yalinikera, huyu dogo MAKAMBA ni msanii, mfano :jana wakati fina anatoa shukrani kwa JF kwa kutuma maswali yeye january alidai eti haijui jamii forum na hajawahi kuisikia akawa anauliza hivi , i quote "inaitwa jamii forum au JAMBO FORUM"
Huu ni usanii na uongo kujidai haijui Jf ,na binafsi alinikera.
Open minded my foot! .... that was as fake as a 3$ bill.Kwani ni lazima aijue JF?? Try to be open minded. Acha kutuboa na wewe.
Mimi majibu yake yalinikera, huyu dogo MAKAMBA ni msanii, mfano :jana wakati fina anatoa shukrani kwa JF kwa kutuma maswali yeye january alidai eti haijui jamii forum na hajawahi kuisikia akawa anauliza hivi , i quote "inaitwa jamii forum au JAMBO FORUM"
Huu ni usanii na uongo kujidai haijui Jf ,na binafsi alinikera.
Open minded my foot! .... that was as fake as a 3$ bill.
Kumbe wewe na facilitator wa matusi na lugha chafu? lazima utakuwa umesahau kumeza zile dawa zako za psychosis bila shaka!Kwani ni lazima aijue JF?? Try to be open minded. Acha kutuboa na wewe.