Makundi ya wanajeshi wa Urusi waanza kugomea vita vya Putin

US media propaganda. The Nazi empire must fall
 
Habari kama hii ulishasemaga tokea haka ka operesheni kanaanza ,,,cha ajabu miezi inakata tu mtu bado anachezea kichapo............we mkunya endelea tu kutikisa hilo wezere mbuyu haung'oki kirahisi hivyo
 
Hao watapotezwa.
 
Ukiachana na hivyo hawa wameshakija na nyuzi kuwa Ukraine kashinda vita

Nashangaa hujalijua hilo, ile tu kwamba msafara ulibadilishwa kuwa chuma chakavu na Urusi wakafukuziwa Kiev kama mbwa, huo ni ushindi tosha, mengine hayo ya kugombania tumji twa huko mipakanani sio issue kubwa, maana wengi tulikua tunaogopa sana Urusi, tulidhani wana chochote cha maana, kumbe useless.
Na sasa hizi taarifa za wnajeshi wa Urusi kuendelea kugomea vita, yaani hadi raha....
 

Igeuze hii habari ndyo itakua kweli
Ukraine wagoma kupigana vita kisa hawapewi silaha wala chakula
Walalamika wanapelekwa kufa…..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…