Makundi ya kumsafisa RC Dar!

Me ninavyofahamu humu jf nikiona ****** maana yake kilaz.a sasa leo sielewi elewi kuhusu huyu prince na hizo nyota! au ndo kusema mfalme kashamtawaza mwanae mpendwa kuwa kilaz..?
 
Ngoja na Mimi nijaribu Kama kutatokea nyota

Bashite
 
Ngoja nifungue PM yangu mnitumie link za kujiunga huko huko

Napenda kusoma habari zake

Ha ha haaaaaa
 
Kama umeangalia vizuri kila anaemtetea SuperKilaza nyuma yake kuna dalili ya yeye pia kuwa amefoji vyeti...mtu asie na mawaa hawezi tetea ujinga
 
Mwambieni sisi tunataka vyeti tu hata akipakatwa vipi sisi ni vyeti tu
 
Wewe na wenzako mlilipwa kazi ya kumsafisha Fisadi maMvi na mmeshindwa. Makonda makosa aliyofanya hayawezi kukaa muda mrefu yakiongelewa kwakuwa hayana msingi.

Msingi wake upo katika vita dhidi ya madawa ya kulevya. kwahiyo kazi za Makonda zinamsafisha jinalake. Ila kwa maMvi kazi mliyopewa nisawa na kuupakarangi mlima wa Kilimanjaro kwa kutumia brashi.
mtahangaika na Makinda kwa sikumbilitu. lakini mtahangaika na maMvi mbaka atakapo pumzika siasa.
 
Maneno kuntu kanywe soda bili nitakulipia
 


Wewe na wenzako mlipwa kazi ya kusafisha Fisha Fisadi maMvi na mmeshindwa. ******* mambo aliyofanya hayawezi kukaa muda mrefu yakiongelewa kwakuwa hayana msingi.
 
Jamii forum wameitikia wito wa jukwaa la wahariri kutoandika habari zinazomuhusu paul
 
Bashite

Test test test.
Encryption test.
Bashiite
 

ONGEZEA NA HII HAPA:
Umuhimu, uhitaji wa utendaji kazi na faida za RC wa Dar essalaam kwa jamii ya Tanzania kwasasa ni mkubwa zaidi kuliko hasara
Chama tulichokitegemea labda kinaweza kusaidia kuchochea maadili mema katika jamii yetu na kuleta maendeleo na labda kuwa mbadala wa chama tawala siku za usoni kinaendeleza mtiririko wa kwenda na matukio kila kukicha na kuzidi kupoteza muelekeo.
Kwa sasa kimeungana na kujikita kutetea washukiwa wa uhalifu na biashara ya madawa ya kulevya kwa ujumla wake - Matumaini ni muelekeo uleule kushindwa tena. Cha kusikitisha zaidi – ni kuelekeza nguvu zote za chama na rasilimali huku wakisaidiana na wazee wa Ngada kutaka kumuangamiza RC kwa maslahi binafsi - Wenye akili tumeshaona ila yatapita tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…