Joselela JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 6,904 Reaction score 9,832 Nov 25, 2018 #21 AB wanaumwa umwa sana halafu wanaakili sana, kimuonekano ni watu wembamba (wanaumbo dogo kimwili) B hawa huwa ni vibonge na wafupi kiasi, wao huwahi kuchoka sana na ni watu wanaopenda kula kula. Akili zao pia ni fupi sana (slow learner type )
AB wanaumwa umwa sana halafu wanaakili sana, kimuonekano ni watu wembamba (wanaumbo dogo kimwili) B hawa huwa ni vibonge na wafupi kiasi, wao huwahi kuchoka sana na ni watu wanaopenda kula kula. Akili zao pia ni fupi sana (slow learner type )
Zesh JF-Expert Member Joined Apr 27, 2017 Posts 15,450 Reaction score 25,168 Nov 25, 2018 #22 Sisi wenye O+ mbona hatupo hapo ????
Rebeca 83 JF-Expert Member Joined Jun 4, 2016 Posts 15,669 Reaction score 33,691 Nov 25, 2018 #23 Ndio maana Rebeca kilaza,now I understand lol
GIUSEPPE JF-Expert Member Joined Dec 31, 2011 Posts 5,239 Reaction score 6,242 Nov 25, 2018 #24 Mtoa mada ungeanza na taadhari kuwa hii inahusu ma group ya damu tu sio magroup ya wasapu ya ndugu wa damu
Mtoa mada ungeanza na taadhari kuwa hii inahusu ma group ya damu tu sio magroup ya wasapu ya ndugu wa damu
Kingsmann JF-Expert Member Joined Oct 4, 2018 Posts 5,773 Reaction score 21,878 Nov 25, 2018 Thread starter #25 Rebeca 83 said: Ndio maana Rebeca kilaza,now I understand lol Click to expand... Vilaza hawapogo JF mkuu[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Rebeca 83 said: Ndio maana Rebeca kilaza,now I understand lol Click to expand... Vilaza hawapogo JF mkuu[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
the locksman JF-Expert Member Joined May 5, 2012 Posts 1,106 Reaction score 357 Nov 25, 2018 #26 Kingsmann said: Inasemekana Ila sio 100% confirmed. Pia hawajasema ni mazuzu bali uwezo wao wa akili uko chini, sio kwamba ndo hawana akili totaly. Click to expand... Unatuletea uongo humu, mi langu B na nina akili.
Kingsmann said: Inasemekana Ila sio 100% confirmed. Pia hawajasema ni mazuzu bali uwezo wao wa akili uko chini, sio kwamba ndo hawana akili totaly. Click to expand... Unatuletea uongo humu, mi langu B na nina akili.
Kingsmann JF-Expert Member Joined Oct 4, 2018 Posts 5,773 Reaction score 21,878 Nov 25, 2018 Thread starter #27 GIUSEPPE said: Mtoa mada ungeanza na taadhari kuwa hii inahusu ma group ya damu tu sio magroup ya wasapu ya ndugu wa damu Click to expand... [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
GIUSEPPE said: Mtoa mada ungeanza na taadhari kuwa hii inahusu ma group ya damu tu sio magroup ya wasapu ya ndugu wa damu Click to expand... [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]