makumbusho ya taifa

Fatma Bawazir

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2010
Posts
491
Reaction score
180
Jamaa alipiga simu ofisi ya makumbusho ya Taifa.

"
Haloo hapo ni makumbusho ya taifa?

OFISI:
Ndio tukusaidie nini?

JAMAA
:"Ok, naomba mnikumbushe mwaka juzi saa yangu niliipoteza wapi?"

OFISI
:"Pumbavu hiyo siyo kazi yetu"

JAMAA
:Sasa makumbusho mnakumbusha nini?"

OFISI:
Tunahifadhi mambo ya zamani.

JAMAA:"
Ahaa.....kumbe saa yangu mtakuwa nayo!" Nakuja kuichukua sasa hivi.
 



wewe fatma ni sooo unaweza ukamvunja mtu bandama kwa viheko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…