Samwelbaruti
Member
- Dec 14, 2012
- 24
- 5
Wanaoujua ufisadi wa IPTL katika ukubwa, mapana na urefu wake wanatambua kuwa kushughulika na Escrow Account pekee (kisha kujiaminisha tumeshughulikia IPTL katika ujumla wake) ni mzaha unaoweza kuvumiliwa kwa minajili ya kuacha muda au wakati uwe hakimu mzuri. Lakini kwa wale wanaoujua undani wa IPTL namna mkataba wa kilaghai na kifisadi ulivyosainiwa tangu miaka ile ya 90 wakati nchi ilipoingia katika shida kubwa ya umeme, huku wahusika wakituingiza katika uvundo mkubwa ambao umezalisha matawi mengi, mojawapo likiwa ni hili la Escrow Account (cha mtoto?), watakuwa na maswali mengi hasa baada ya kuwasilishwa kwa Ripoti ya PAC. Mojawapo ya maswali hayo ni je; Kweli kwa ufisadi mkubwa kama huu, ukiwa ni sehemu ya matokeo ya moja ya mikataba mibovu katika sekta ya nishati, kwamba mabilioni ya fedha yaliyochotwa sehemu nyeti kama benki kuu, yakagawiwa kwa kiwango kile, kiasi ambacho mtu anaweza kujenga hoja na kuhitimisha kuwa kulikuwa na elements za state capture or rather an institutionalized corruption, kwamba ofisi kuu ya nchi na mwenye ofisi ambaye kimamlaka ni Rais Mtendaji alikuwa hajui yote haya? Kwamba aliyekuwa anajua ni Waziri Mkuu pekee! It is a question which remained to be answered! Time will tell, alisema Bob.
Nashauri KATIBA PENDEKEZWA iliyosimamiwa na Mtemi Chenge ichanwe hadharani uwanja wa Taifa maana kunauwezekano mgao wake ulitumiwa kununua wajumbe!
Siyo lazima Rais ajue, ukiangalia hata pm mwenyewe siyo lazima ajue
Mkuu achana na mimi usinipangie cha kuandika.
Kwani kaka kuna hata moja ambalo mkulu halijui kuanzia richmond epa escrow vyote anajua ila ndio funika kombe mwanaharamu apite
Mie nachojua makasisi ndiyo wamevuta pesa chezea Askofu Kilaini.
niliuliza hili swali kwenye uzi mwingine
Huna hoja wewe hoja iliyopo sasa ni TUMBIRI KAGEUKA BINADAMU NA BINADAMU(WEREMA) KAGEUKA TUMBIRI
[/QUOT]
Chadema hata mseme nini , mmepigwa bao na Zitto amezidi kudhhirisha bila yeye WENGINE mazuzu tu kule
Wewe umemuona zito tu hujamuona filikunjombe wala kafulila hapo eti? Maaskofu wa katoloki wamepiga mpunga wapiga domo wa CCM/UISLAM huku mtakula kuona.
Mie nachojua makasisi ndiyo wamevuta pesa chezea Askofu Kilaini.
Mkombozi Benki ni ya CCM? Askofu Kilaini na wenzake nao ni CCM? Kanisa Katoliki nao ni CCM?Tukuulize wewe na vidosho wako mnaotupinga kila siku hapa, tunasema ccm ni wezi
Wakirsto wataimaliza hii nchi kwa ufisadi.Sasa nyie waislam mnaipigia debe CCM Huwa mnafanywa mazuzu huku kanisa katoliki pamoja na kuwatukana kwote wanapata mgao kiaina kupitia maaskofu. Maama sijaona shehe hata mmoja kwenye mgao wao ni kutangulizwa kuitetea Ccm tu kwa kula wanakula maaskofu. Wajinga ndo waliwao daadeki
Zitto kaishamaliaza kila kitu viongozi wako walikuwa wapi kupambana na hii issue.