makubaliano

snochet

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2011
Posts
1,491
Reaction score
1,298
Polisi alimkuta jamaa flani akifanya mapenzi na dada alìyekua amekufa.polisi akamwuliza anafanya nini,jamaa akajibu, "tulikua na makubaliano miaka tatu iliyopita."polisi akauliza, "unamaanisha nini?"jamaa akajibu, "miaka tatu iliyopita,nilimwambia tufanye mapenzi akanijibu, OVER MY DEAD BODY!"
 
Khaaa...hataaaar, jaman utam si utaimsha maiti.
 
Huyu jamaa hajapelekwa na huyo polis mabwepande kweli, hebu fuatilieni asijeng'olewa meno na kucha bila ganzi
 
dunian kunamambo...........nimeipenda big up,
 
Huyu jamaa hajapelekwa na huyo polis mabwepande kweli, hebu fuatilieni asijeng'olewa meno na kucha bila ganzi

Kwani kaikosoa nini serikali ya ccm hapo ndo apelekwe mabwepande?
 
dah! Tutumie lugha yetu ya Taifa jamani tutakuja sababisha makubwa
 
hahaaa....swafi...lugha gongano hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…