View attachment 2331281
Tembea uone mengi Tanzania kuna vingi vya kujivunia. Hii ni moja tour itayofanyika ndani ya Mkoa wa Mbeya wilaya ya Kyela, katika fukwe za Matema tarehe, 10/09/2022. Kama ni mkazi wa Mbeya na Maeneo yake karibu tujumuike pamoja kumwagilia mioyo ukisindikizwa na upepo mwanana wa Ziwa NYASA.
@wildlifeafrica_the_best @tomasgrafx.
@Palazzogardenresort