Maktaba ya Taifa(NLT)

Maktaba ya Taifa(NLT)

Powell Gonzalez

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2023
Posts
1,554
Reaction score
2,717
Habari za muda huu, na ahsante kwa kufungua uzi huu. Natumaini kati yetu yupo mtu mwenye uzoefu wa maktaba kuu ya Tanzania (National library of Tanzania )
Tafadhali tunaomba utusaidie ( Mimi na wana JF wengine ambao watafaidika) kuhusu utaratibu wa maktaba hii hasa gharama zake kwa ujumla.
Natanguliza shukrani!
 
Gharama zake ni kama ifuatavyo:-
1. Kwa asiye mwanachama = Tsh. 1000 kila unapokwenda.

2. Kwa mwanachama = Tsh. 10,000 kwa mwaka. Hii itakuruhusu pia kuazima kitabu kwa ajili ya kwenda kujisomea nyumbani.
 
Nilikuwa member mtiifu nilenda pale kusoma zangu magazeti bure enzi zile za kazi kwenye magazeti.
 
Siku hizi wanatoza mkuu.
Ila ukiwa na uhakika wa kwenda mara kwa mara ni vyema ulipe ada ya mwaka mzima.
 
Gharama zake ni kama ifuatavyo:-
1. Kwa asiye mwanachama = Tsh. 1000 kila unapokwenda.

2. Kwa mwanachama = Tsh. 10,000 kwa mwaka. Hii itakuruhusu pia kuazima kitabu kwa ajili ya kwenda kujisomea nyumbani.
Kuwa mwanachama inamaanisha kulipia hii 10000?
 
Back
Top Bottom