Maktaba ya kuelea yatia nanga Dar es Salaam

Maktaba ya kuelea yatia nanga Dar es Salaam

Masharti sio. Magumu. Unatakiwa kwenda na Kitambulisho chochote na Tsh:1000/- ambayo ni kama. Nauli ya kukusafirisha kwa basi lenye Full kiyoyozi toka Geti namba 2 hadi meli ilipo.Wastani wa 1.8Km. Kwenda na. kurudi.

Kuhusiana na Idadi ya vitabu. Meli hiyo imesheheni vitabu zaidi ya 5,000/- Pamoja na Videos Mbalimbali za Music na Documentaries. Kilichonivutia, ni kuona Baadhi wa Wabongo kupenyeza kazi zao humo pia. Nilibahatika kuona vitabu Vya Kiswahili kama Tenzi za rohoni n.k

Litakuwa jambo jema sana kama na sisi tutaiga kwa staili hiyo kama wao.....dah mkuu hakuna kitabu CHA JANGA SUGU LA WAZAWA humo?.......mana hiki kitabu kilinipatia faraja ya roho
 
Back
Top Bottom