makovu mwilini

kwnye mguu wa kulia,, bodaboda hiyo
kitu cha exost (cjui km niko sahihi hapo) kilinilalia ..lol.!
sitasahau hilo
 
mimi nachojua ni kuwa kila mwanamke anakovu la kudumu wengine wanaliita papuchi,kitumbua mbunye eti eeeh.
 
Mie langu liko kwenye maungio ya mguu na paja kwa nyuma limeleta dimposi kasheshe nikivaa kimini inabidi niwe jasiri tu.....
 

mbona jana sikuliona tulipokuwa pamoja? au ulililalia na kulificha?
 
Kovu mkono wa kulia..Nilingàtwa na tumbili nilipokuwa na miaka 6 akaondoka na mnofu...ikabidi ichukuliwe ngozi kwenye paja iwekwe hapo..Mengine yamefifia nilipata ajali ya pikipiki pia umri huohuo n.k
 
Mtoto wa kiswazi nilikuwa natafuta makopo ya kujipikilisha kwenye shimo la taka
shimo ndo kwanza limechimbwa siku si nyingi, kwenye kingo bado lina vipande vya chupa
nishaokota makopo kaka angu ananivuta ili nitoke
ile kanishika mkono nikateleza nkadondoka tena ndani ya shimo
kuja kutoka hapo nashangaa damu tu kumbe chupa imechana kuanzia gauni hadi pichu
hadi leo hii nna kovu kwenye kalio....nilichanwa na chupa!!!!!!
 
Kovu mkono wa kulia..Nilingàtwa na tumbiri nilipokuwa na miaka 6 akaondoka na mnofu...ikabidi ichukuliwe ngozi kwenye paja iwekwe hapo..Mengine yamefifia nilipata ajali ya pikipiki pia umri huohuo n.k


so paja lina upungufu wa nyama?
 

sijui ni lyk kuoneshwa kuguswa mana i am a boy from uswazi either, na unavyoongea umenikumbusha mbali sana ....pole
mara uko jajalani moto umekuunguza dah mungu yani katusaidia mpaka leo tuko ofisi kubwa hivi na heshima tunapewa
 
nnalo la paja nilikuwa napasi sket ya shule nikiwa nimevaa duh std 6 kitambo
 
Kovu mkono wa kulia..Nilingàtwa na tumbiri nilipokuwa na miaka 6 akaondoka na mnofu...ikabidi ichukuliwe ngozi kwenye paja iwekwe hapo..Mengine yamefifia nilipata ajali ya pikipiki pia umri huohuo n.k

Tumbili? sema vizuri wewe?
 
Aisee mbali sana


Goti la kulia,nilikimbizwa na mbwa mida ya jioni nikitoka kuchukua maziwa...nilianguka kwenye kokoto...iliuma sana,kukunja mguu ikawa shughuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…