Telewolth bin champion
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 2,871
- 7,607
Watajiharibia zaidi wakifanya hivyo now macho masikio ya ulaya na america yapo Tanzania kwa ukaribu..Nahisi yafuatayo.
1 Curfew kutangazwa kuanzia tar 8
2 Polisi kusambazwa mitaani toka tar 8, kisha, kuanzia alfajir ya tar 9 kuanza kupiga mabomu ya machoz for no reason ili watu wasitoke ndani
Nani atakubali kupigwa karantini? People ziliheshim jeshi ambapo zimekuja kujua kuwa jeshi lao limewasaliti so mkund* akitoa amri nyingine watatii vijakazi wake na si raia.Tununue vyakula vya kutosha.maana lazima tupigwe karantini
Faida pekee ya D9 ni economic disturbance kwa sababu kwa kadili serikari haramu na pumbavu ya Samia inavyo jaribu kuzuia maandamano ndivyo inavyo angusha kabisa uchumi na trust kwa uwekezaji na utalii ...hivyo hii plani ya kuitisha maandamano kila mwezi ina tija hata kama maandamano yasipo kuwepo ...nikama mjuavyo hiyo D9 watu wengi hawata kwenda mjini mabasi na magari hayata kuwepo njiani vituo vya mafuta havito fanya kazi itakuwa ni outkafyu hata kama serikali isinge tangaza kafyu ......maandamano yenye nguvu ni yake ambayo yanafanyika watu wote wakiwa kwenye shughuli zao za kawaida tena yanatakiwa kuanzia city centre....yaani watu wanaingia mjini bila ya maandamano na kuyaanzisha katikati ya mji ghafla siyo haya ya kutembea kutoka nje ya mji na kujaribu kuingia mjini kwa miguu....maandamano yanatakiwa kufanyika siku za kazi za kawaida kuanzia katikati ya mji na nje ya mji kuekekea katikati ya mji hapo mfumo wa ulizi unashindwa kukabili hiyo move kirahisi pia unashindwa kutambua watu wa kawaida na waandamanaji ...kuna watu wanataka kuandamana ila wanashindwa kwenda kwenye maandamano hivyo wakijikuta katikati ya maandamano watashiriki ...faida ya maandamano kufanyika siku za kawaida na ghafla ni kwamba watu wengi wanajikuta ndani ya maandamano mijini wakiwa trap na usafiri wa abiria una kufa ghafla na magari yanakuwa traped hivyo kuzuia movement ya askari kuingia nmau kutoka au kujikusanya kwa haraka au kumove kutoka sehemu moja hadi nyingine kirahisi ..kuna faida kubwa sana magari yanapo kuwa mengi kwenye maandamano na kutengeneza jam na watu wanapo kuwa wengi wame trap kwenye maandamano.Iseme hiyo
Hiyo unayoina ya shughuli kutofanyika kwamba kwa kuhofia maandamano kwangu naona ndo point ya USHINDI.Faida pekee ya d9 ni economic disturbance kwa sababu kwa kadili serikari haramu na pumbavu ya Samia inavyo jaribu kuzuia maandamano ndivyo inavyo angusha kabisa uchumi.na trust kwa uwekezaji na utalii ...hivyo hii plani ya kuitisha maandamano kila mwezi ina tija hata kama maandamano yasipo kuwepo ...nikama mjuavyo hiyo D9 watu wengi hawata kwenda mjini mabasi na magari hayata kuwepo njiani vituo vya mafuta havito fanya kazi itakuwa ni outkafyu hata kama serikali isinge tangaza kafyu ......maandamano yenye nguvu ni yake ambayo yanafanyika watu wote wakiwa kwenye shughuli zao za kawaida tena yanatakiwa kuanzia city centre....yaani watu wanaingia mjini bila ya maandamano na kuyaanzisha katikati ya mji ghafla siyo haya ya kutembea kutoka nje ya mji na kujaribu kuingia mjini kwa miguu....maandamano yanatakiwa kufanyika siku za kazi za kawaida kuanzia katikati ya mji na nje ya mji kuekekea katikati ya mji hapo mfumo wa ulizi unashindwa kukabili hiyo move kirahisi pia unashindwa kutambua watu wa kawaida na waandamanaji ...kuna watu wanataka kuandamana ila wanashindwa kwenda kwenye maandamano hivyo wakijikuta katikati ya maandamano watashiriki ...faida ya maandamano kufanyika siku za kawaida na ghafla ni kwamba watu wengi wanajikuta ndani ya maandamano mijini wakiwa trap na usafiri wa abiria una kufa ghafla na magari yanakuwa traped hivyo kuzuia movement ya askari kuingia nmau kutoka au kujikusanya kwa haraka au kumove kutoka sehemu moja hadi nyingine kirahisi ..kuna faida kubwa sana magari yanapo kuwa mengi kwenye maandamano na kutengeneza jam na watu wanapo kuwa wengi wame trap kwenye maandamano.
NI POINT NA MIMI NIMEKUBALI HIVYO NA NIMEELEZA HIVYO ILA INATAKIWA KUFANYA MARA KWA MARA ILI KUFANIKISHA MKWAMO ILA RAIA KUTOKEA INAWEZA WASITOKEE NA INAKUWA RAHISI KUZIDIWA NGUVU NA VIKOSI .....ILA KWA MAANDAMANO YENYE NGUVU YA KUDAI DAMU ZA WATANGANYIKA NA KUIKOMBOA TANGANYIKA LAZIMA NJIA NI HIYO NILIYO ELEZA ...HIVYO MBINU ZOTE ZITUMIKE YAANI MBINU YA KUTISHIA NAYA MASHAMBULIZI KWELI ...HIZI MBINU MBILI KWA PAMOJA ZITALETA USHINDIHiyo unayoina ya shughuli kutofanyika kwamba kwa kuhofia maandamano kwangu naona ndo point ya USHINDI.
Fikilia ndani ya sku tatu mfululizo hakuna kazi inafanyika, hakuna ofisin imefungua, hakuna usafiri, hakuna shughuli yoyote ile ya uchumi. Ni raia barabarani nchi nzima, na siyo lazima kwamba wakutane city center. Hapo hapo mtaani kwako.
Endelea kuhesab siku zote hizo mnakimbizana na polis + jeshi.
Lazima tu watageukana wenyew kwa wenyewe eatachapana, na hpo to tutaingia dark days rasm.😢😢
09 December raia watakachokifanya itakuwa historia na funzo.
Nami nimemshangaa,watu wanawaza kulikomboa taifa,yeye akili inawaza misosi tu.We unawaza kula tu......watz jamani mnatia aibu
Sasa si.useme hiyo formation yako?Kwa akili yangu haya maandamano ya pili yamekosewa kabisa formation...hivyo itskuwa ngumu kufanikiwa ...formation sahihi ni tofauti na hii wanayo taka kutumia ...🤔🤔🤔 kuna mbinu ya maandamano yenye kutosha sana kuliko hii wanayo taka kutumia
Father hatuna muda wa kujadiliana na Police wauaji sisi. Na hatuna mpango wa kupangiwa tunaanzia wapi na kuishia wapi. Kwa Dar uelekeo ni ikulu,bandaging Airport 🛫Maandamano yanaweza kulindwa na helkopta juu ili asitokee wa kuhujumu raia na mali zao. Waandamanaji wabainishe madai yao na wanamtaka nani ayapokee maandamano yao. Wapi yaanzie na wapi yaishie kisha watu wasambae kurudi walikotoka kwa amani. Wakisema wanataka waishie ikulu au bungeni, au sehemu sensitive kwa nchi itakuwa ni shughuli pevu watakubaliana na vyombo vya ulinzi na usalama kwenda huko wanakotaka kwenda, waridhiane mapema kabla ya siku hiyo ili pasijetokea mauaji ya halaiki nchi ikaaibika kuwa ni ya kishenzi haithamini uhai wa watu wake
Si ndo maana tunasema maandamano yasiyo na kikomo…NI POINT NA MIMI NIMEKUBALI HIVYO NA NIMEELEZA HIVYO ILA INATAKIWA KUFANYA MARA KWA MARA ILI KUFANIKISHA MKWAMO ILA RAIA KUTOKEA INAWEZA WASITOKEE NA INAKUWA RAHISI KUZIDIWA NGUVU NA VIKOSI .....ILA KWA MAANDAMANO YENYE NGUVU YA KUDAI DAMU ZA WATANGANYIKA NA KUIKOMBOA TANGANYIKA LAZIMA NJIA NI HIYO NILIYO ELEZA ...HIVYO MBINU ZOTE ZITUMIKE YAANI MBINU YA KUTISHIA NAYA MASHAMBULIZI KWELI ...HIZI MBINU MBILI KWA PAMOJA ZITALETA USHINDI
Ikitangazwa Curfew hamna atakayejipendekeza kutoka mzee ule moto sio poaNani atakubali kupigwa karantini? People ziliheshim jeshi ambapo zimekuja kujua kuwa jeshi lao limewasaliti so mkund* akitoa amri nyingine watatii vijakazi wake na si raia.
Patachimbika, kama na wao watawalenga waandamanaji kwa risasi ujue risasi zitawaishia kama nilivyoshuhudia polisi kutaitiwa na vijana hadi kukimbia. Lakin kama watatumia fimbo ujue ngoma hadi majogoo
Ishu ya Curfew itatangazwa kuanzia muda gani?, na kama ni maandamano yasiyo na kikomo…hii curfew itaendelea bila kikomo?, na kama watazima internet…je itazimwa bila kikomo?…uchumi wa Tanzania itakuwaje?, Mbaya zaidi hatua yoyote serikali watakayo chukua sasa itavuta attention ya kimataifa kwa mauaji yaliyokwisha tokea, na pengine wakizima internet tena, Dunia itafikiri inataka kufanya mauaji kwa mara nyingine…Hii ishu imekaa kimtego sana..na chelea kusema kuwa Tanzania haitakuwa kma zamani.Ikitangazwa Curfew hamna atakayejipendekeza kutoka mzee ule moto sio poa
Nadhani haukuingia barabarani ile Chuma ikimkuta wa karibu yako ikamfumua ubongo wewe hautamani tena kuendelea na safari
Achana na hizo assumptions kuwa risasi zitawaishia kwa SMG tu magazine inakaa risasi 30 hapo wakiamua wawalenge watawadondosha hata watu 20
Itoe sasa hiyo mbinuKwa akili yangu haya maandamano ya pili yamekosewa kabisa formation...hivyo itskuwa ngumu kufanikiwa ...formation sahihi ni tofauti na hii wanayo taka kutumia ...🤔🤔🤔 kuna mbinu ya maandamano yenye kutosha sana kuliko hii wanayo taka kutumia
Bro acha hiyo kitu ya kuteka attention ya Kimataifa hawana lolote hao na ndo ujinga wanaotumia wale wanaharakati uchwara na msemo wao ule "dunia nzima imeona" sasa dunia ikiona ndiyo nini?Ishu ya Curfew itatangazwa kuanzia muda gani?, na kama ni maandamano yasiyo na kikomo…hii curfew itaendelea bila kikomo?, na kama watazima internet…je itazimwa bila kikomo?…uchumi wa Tanzania itakuwaje?, Mbaya zaidi hatua yoyote serikali watakayo chukua sasa itavuta attention ya kimataifa kwa mauaji yaliyokwisha tokea, na pengine wakizima internet tena, Dunia itafikiri inataka kufanya mauaji kwa mara nyingine…Hii ishu imekaa kimtego sana..na chelea kusema kuwa Tanzania haitakuwa kma zamani.
Hiyo namba 2 ndio kosa kubwa wanalofanyakaga polisi na serikali yetu.Kuandamana ni haki kikatiba ili mradi tu upewe kibali na yawe ya amani.Nahisi yafuatayo.
1 Curfew kutangazwa kuanzia tar 8
2 Polisi kusambazwa mitaani toka tar 8, kisha, kuanzia alfajir ya tar 9 kuanza kupiga mabomu ya machoz for no reason ili watu wasitoke ndani
Kuzima intanetNahisi yafuatayo.
1 Curfew kutangazwa kuanzia tar 8
2 Polisi kusambazwa mitaani toka tar 8, kisha, kuanzia alfajir ya tar 9 kuanza kupiga mabomu ya machoz for no reason ili watu wasitoke ndani
Nyie ndio wakosoaji msiokuwa na solutions!! Eleza hapa maoni yako acha ujuajiKwa akili yangu haya maandamano ya pili yamekosewa kabisa formation...hivyo itskuwa ngumu kufanikiwa ...formation sahihi ni tofauti na hii wanayo taka kutumia ...🤔🤔🤔 kuna mbinu ya maandamano yenye kutosha sana kuliko hii wanayo taka kutumia