Makosa ya mtandao

Makosa ya mtandao

ashy me

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2017
Posts
460
Reaction score
299
Naomba kujuzwa wadau na wajuz wa sheria no IPI sheria na hukumu ya MTU anaekutumia mesej za matusi via messenger message na kuptia watu ...nikitaka kumfungulia mashtaka ..ushahidi wa message nnao na kila kitu ...n opi hikumu ya na sheria inavpsema juu ya makpsa hauo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atahukumiwa na Mungu msamehe buree matusi hayatoboi mwili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom