Makosa ya Gwajima mahakamani

Makosa ya Gwajima mahakamani

geomos

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2014
Posts
625
Reaction score
175
Wiki iliyopita, Askofu Gwajima alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa mashitaka mawili ambayo ni kumtolea lugha ya matusi ambayo imemfedhehesha Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, na kuweka vibaya silaha anayomiliki.
 
Nimeanza kukumbuka kesi za Shekhe Ponda.
 
Wiki iliyopita, Askofu Gwajima alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa mashitaka mawili ambayo ni kumtolea lugha ya matusi ambayo imemfedhehesha Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, na kuweka vibaya silaha anayomiliki.

Kesi nyepesi, nilidhani kanisa halina usajili, kupinga katiba pendekezwa, kukashfu akina nanhii, kuuza unga^sembe, nk, nk.....
 
Kesi nyepesi, nilidhani kanisa halina usajili, kupinga katiba pendekezwa, kukashfu akina nanhii, kuuza unga^sembe, nk, nk.....

kwa mtu mdogo nyepesi kifungo miaka 3 na faini kwa mtu kama gwajima watu wayalia mahakamani haleluyaa eeemeeeeeee
 
Kesi haina kichwa wala miguu daa aisee sasa kwa kesi hyo ndio kumfuata mtu na silaha za moto na deffender zaidi ya 3 Noah tinted ?
kwikwikwikwikwikwiiwi
tanzania yangu hii
 
Aliyataka mwenyewe ngoja acheze ngoma kwa mdundo wao
 
Polisi wameona mambo hayaendi kama walivokusudia sasa wakaamua kuitupia mahakama thats Y mashtaka hayana mashiko cause Pengo akishasema amesamehe hata kama hakuombwa msamaha
 
wiki iliyopita, askofu gwajima alifikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu kwa mashitaka mawili ambayo ni kumtolea lugha ya matusi ambayo imemfedhehesha askofu mkuu wa kanisa katoliki jimbo kuu la dar es salaam, mwadhama polycarp kardinali pengo, na kuweka vibaya silaha anayomiliki.

kama hujui unachokiandika ni bora ukakaa kimya kuliko kudanganya watu kwaajili ya ushabiki wako usio na tija juu ya huyo unayemuita askofu sijui alipewa na nani huo uaskofu,nnachotaka kukwambia ni kwamba makosa yote hayo uliyoyataja hayapo kwenye hati ya mashtaka.
 
nakubali makosa,...
naomba wanifutie kibali cha bunduki, na hilo la kutoa matusi naomba nilipe fidia pamoja na faini...
 
kama hujui unachokiandika ni bora ukakaa kimya kuliko kudanganya watu kwaajili ya ushabiki wako usio na tija juu ya huyo unayemuita askofu sijui alipewa na nani huo uaskofu,nnachotaka kukwambia ni kwamba makosa yote hayo uliyoyataja hayapo kwenye hati ya mashtaka.
Gwajima Afunguka Tena....Asema Haogopi Mtu Wala Haogopi Kufa. Awashangaa Wanaomfuatilia huku Wakiongea kwa Kubana Pua

http://www.mpekuzihuru.com/2015/04/gwajima-afunguka-tenaasema-haogopi-mtu.html
 
Inamaana yale maneno ya Kova kwamba silaha inamilikiwa kinyume cha sheria yameishia wapi au ndo kusema kila sehemu siasa iko applied
 
kama hujui unachokiandika ni bora ukakaa kimya kuliko kudanganya watu kwaajili ya ushabiki wako usio na tija juu ya huyo unayemuita askofu sijui alipewa na nani huo uaskofu,nnachotaka kukwambia ni kwamba makosa yote hayo uliyoyataja hayapo kwenye hati ya mashtaka.

MI nakushangaa sana, sasa wewe unataka askofu wako ndo awape uaskofu wa katoliki, wa kkkt, aicc, TAG, EAGT, sabato, anglikan, Monrovia, utataka mpaka usheikh na uimamu muwe mnatoa nyie kwa kulewa Sifa za wanadamu
 
Wiki iliyopita, Askofu Gwajima alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa mashitaka mawili ambayo ni kumtolea lugha ya matusi ambayo imemfedhehesha Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, na kuweka vibaya silaha anayomiliki.

Hivi vyeo vya Mwadhama Polycarp cardinal ni jina au ni mlolongo wa vyeo juu ya uaskofu!
 
Kesi haina kichwa wala miguu daa aisee sasa kwa kesi hyo ndio kumfuata mtu na silaha za moto na deffender zaidi ya 3 Noah tinted ?
kwikwikwikwikwikwiiwi
tanzania yangu hii

Wanatafuta mlango wa kumkimbia, wanajua hiyo sio kesi
 
Aisee kesi ya kukashfu na kuweka siraha yake vibaya ndo wamfate nyumbane kwake na mitutu ya bunduki na midifenda na askari kama wa amaboni duuh aisee
 
Hivi vyeo vya Mwadhama Polycarp cardinal ni jina au ni mlolongo wa vyeo juu ya uaskofu!

Anakuwa addressed as: Polycarp Cardinal Pengo, sawa na kusema Jakaya President Kikwete.

Au kwa kiswahili: Mwadhama Kardinali Polycarp Pengo. Polycarp Pengo ni jina lake sawa na wewe Geomos Muulizaswali.

Cardinal ni cheo chake katika Vatican na haswa maswala ya Papa. Lakini kimsingi ni askofu kama wengine ila mwenye cheo cha juu sio kisakrament bali kulingana na Papa apendavyo. Ni kama vile wabunge wapo wa kawaida na maalumu kama rais apendavyo.

Makardinali ni waana wa kifalme wa Kanisa, au Princes of the Church.

Wanavyokuwa addressed: His Eminence Cardinal....... ni kubwa zaidi ya His Excellence.... kwa rais au askofu wa kawaida.

Kwa kifupi Cardinal ni mtu mkubwa sana ndani ya Kanisa Katoliki na wanahusika kwa karibu zaidi katika uongozi wa Kanisa ikiwa ni pamoja na kumchagua Papa.

Wanaongoza idara kubwa za Kipapa Vatican, ila siyo lazima awe Kardinali hata askofu wa kawaida tu.

Kumbuka Kanisa Katoliki lina waumini zaidi ya millioni 1200 duniani, hivyo Kardinali ni kiongozi wa watu wengi sana kuliko viongozi wa nchi kama USA, China, n.k.
 
Back
Top Bottom