ndikulonda
JF-Expert Member
- Jul 20, 2014
- 390
- 186
unapozungumzia ufisadi wa lowassa unatakiwa uweke bayana ni shilingi ambazo amechukua na ushaidi wake na ukumbuke kamati ya mwakyembe hajawai kuweka ushahidi wowote zaidi ya kutumika kisiasa tu
Lowassa = Mavi (Kinyesi) Ikishindikana tutamnyang'anya haki yake ya kuishi. Yeye ana hela sisi tuna Bunduki, risasi na watu. Tutaona maana tumechoka kuibiwa. Anang'ang'ania kuzimu.
Lowassa ndo Rais wetu ajaye, period
Hakuna kama Lowassa kwa sasa... Lowassa ndio rais
Lowassa is the best President Tanzania Never had!
kwa hiyo usipompigia kura na akashinda ndio hatakuwa rais
Lowassa is the best President Tanzania Never had!
Hayo ni mawazo ya binadamu asiyefikiri.... Jaribu kutumia akili Mkuu...
Mtu hana akili kwa sababu anasema ukweli juu ya mwizi Lowassa. Tupa kule msituletee majizi ktk Ikulu ya Magogoni. Aende akachunge ng'ombe wake wasiopungua wala kuongezeka. Miaka nenda miaka rudi akiulizwa juu ya mali zake jibu nina ng'ombe kati ya 800 -1000. Ogopa mtu mwongo na mwizi. Baba huyu na mvi zake mwizi tu. Haoni haya kuiba. Na watu wamekuwa vipofu hawaoni kama ni mwongo na mwizi kwa kuwa wanajazwa pesa. Baba huyu mwongo hata ktk kukana kabila lake la kimeru na kusema yeye ni mmasai. Oktoba hii tukipata rais mwadilifu kwanza ashughulike na mtandao wa mafisadi member mkuu huyu mmeru mwizi wa mali za Taifa.
Mkuu;Mtakuja na kila aina ya mapambio, lakini haosheki hata kwa Dodoki la Steel wire
Lowassa ndo Rais wetu ajaye, period
Mkuu;Ukiwa mwanaccm ni lazima uwe mwehu kwa kiasi fulani endapo utampinga lowasa..... Nasema hivyo kwa sababu mfumo wa ccm haumuwezeshi mtu kuwa huru endapo anahitaji kugombea nafasi yoyote ya uongozi..... Ukitaka uwe huru ni lazima ukubali shutuma nyingi....
Mkuu;nADHANI MAKOSA YA eDWARD LOWASA NI UTENDAJI WAKE ULIOTUKUKA
ccm imekuwa ikijibeba na itikadi yake ya uwizi, ahadi hewa, utekelezaji mbovu wa ilani, but only Lowasa anasimama kinyume na hiyo kitu
sasa viongozi wenzie ndani ya ccm ambao wamezoea ubwanyenye wanatokea kumchukia.
Mkuu;Huo ufisadi wake ni upi? Naomba kueleweshwa maana sijaona hatua yeyote kwa aliyetoa tuhuma na kuzifikisha mahakamani,,jamani mjue kutofautisha kati ya chuki za kisiasa na mambo muhimu mie naona lowasa ndo kiongozi anayetufaa watanzania wala hakuna mwingine,,nasema hivyo sio kwa kufuata mkumbo bali Nimeona utendaji wa mh akiwa madarakani