Makosa ya Barabarani na pointing zake katika Leseni

Nakioze

JF-Expert Member
Aug 11, 2014
329
170
Wana Jamvi,nimesalimu.
Mada hii nimeileta mbele yenu lakini imekuwa tofauti na hizo zilizotangulia,
Kuna wataalamu waliokaa na kubuni kwamba endorsement ikifanywa kwenye leseni ya mtu kadri afanyavyo makosa na kumfungia udereva hii labda inaweza kudumisha usalama Barabarani.
Mimi binafsi naona hii ni nafasi ya kumzidishia traffic kipato na si njia yoyote yeye manufaa kwa taifa.
 
Na kama nina maelewano mabaya na trafiki husika wa siku hiyo si atanipa point za kutosha jamani
 
Back
Top Bottom