Makosa wayafanyayo wanaume wawapo kitandani na mpenzi mpya...!

Hahahahahaahah! Unamwambia tena unaumwa PUMU n humo chumbani hakuna hewa kabisa. kwa kweli inabore sana halafu ukute ananuka kwapa, AgrrrrrrrrrrrrrH! Pwaaaatwa! kichefuchefu kitupu!

Msichukulie kama wanao nuka mdomo na vikwapa ni WANAUME tu pekee yao;Mtakuwa hamtutendei haki!

Kuna madada tena ma sister du kabisa lkn wananuka kwapa;majasho; mdomo na hawakati nywele za kule!Nimekutana nao wengi tu hapa UDOM!
 
siyo siku ya kwanza yanatakiwa kufanyika hayo

Aliponipigia tu simu leo niende kwake(siku ya kwanza)mm toka nipo home Bihawana Mandingo kasimama wima;Nikaja naumia kwenye suruali hadi kwake Area D!Nikifika hapo nianze tena kuremba kukaguana kucha?

Mtambuzi mm mbantu haya ya kukaguana makalio yamevaa nn naanzia bao la 4 kwa sababu nakuwa tayari nimepoa!Hiyo ndiyo formula yangu na haijawahi badilika
 
Baba Mtambuzi aksante kwa makala haya....... hapo kwenye kushindwa hapo nadhani inategemea na ntu na ntu kama mwanamke wako anaelewa kitu kiitwacho anxiety na kuelewa kuwa sometimes mwanaume anaweza 'asiweze' basi badala ya kuwa disappointed atakuwa mstari wa mbele kumpa moyo na kujaribu kumwekea mazingiza 'wezeshaji' ili mwenzi wake aelewe kuwa hajabore.
 
Last edited by a moderator:
Aliponipigia tu simu leo niende kwake(siku ya kwanza)mm toka nipo home Bihawana Mandingo kasimama wima;Nikaja naumia kwenye suruali hadi kwake Area D!Nikifika hapo nianze tena kuremba kukaguana kucha?

Mtambuzi mm mbantu haya ya kukaguana makalio yamevaa nn naanzia bao la 4 kwa sababu nakuwa tayari nimepoa!Hiyo ndiyo formula yangu na haijawahi badilika

Hahahahah Malafyale mi staki bwana akhaa!! ................... Yaani ukipigiwa simu uje kunyumba basi unajua kuwa waja kula tunda? Je kama nakuitia unisaidie kuua mende we utamuua kwa kutumia mandingo? Hahhahah
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru hapo kwenye agenda ya mwanaume kuweweseka hapanipi tatizo, because hua siwezi fanya hii makitu bila kulia! Tena nalia mpaka nahurumiwa!
Chozi zuri sana mkuu huwa linasaidia hata kutokudaiwa mahela meengi hususan kwa yale majambo ambyo umeyabeba tu kwa ajili ya kyakwarua, pia choz husaidia hata kweye hatua za utongozaji, nami huwa ni silaha yangu. umenikumbusha mbali.
 
Duh mie nabahati ambayo siyo kama darasa hili, nina bahati ya kukutana na wanawake ambao huwa mambo yao kama Jeshini vile anapotoka mpaka kunitia machoni anakuwa keshaiva haitaji utayarishaji hayo yeye anachotaka umfikishe mwezini na kumrudisha, kama vile unahudumia katika ER, akichelewa basi hamu inamuisha ghafla kama vile kama vile taa ya karabai.Mambo hayo ya kutayarishana imefanya atafute konda ambaye akiachia mlango kwa konda mwingine huwa na yeye hufanya kijeshi mie duh, yamenishinda chap chap. Mapenzi kama hayo ndio wanawake wengine huitaji kutayarishwa lakini inategemea na mazingira ambayo yeye aliyokuwa katika kufanya mapenzi. Kwani kuna wengine wakiona miili ya wapenzi wao huwa hoiiiii, na kileleni anafika mara kadhaa anakuacha ukiwa unahamu kachoka weeeee. Wapo wengine wanapenda zaidi kulazimishwa ndio hujisikia kuwa wanafanya mapenzi, unaweza kuwa na mpenzi hata mke akawa kila mkitaka kudu lazima zianze nguvu nguvu kisha romance kisha ndio unaonaya anakuwa na mshawashawa wa kufanya mapenzi. (Wanawake kama hao hupenda sana wanaume wenye misuli) kwa wengine wanapenda wanapokuwa kama fujo vile wanafurahia zaidi
Kama kujieleza wengi wangejieleza jinsi tofauti wanavyotaka kufanyiwa ili wawemeridhika na kufika kilele.
 
Kufanya mapenzi kwetu wanaume ni kama moto wa karatasi unowaka kwa kasi kubwa na kuzimika mapema while kwa mwanamke ni kama moto wa magunzi ambao unapata kasi baadaye na kuzimika late. Ni jukumu la kila mwanaume kujitahidi kumridhisha mkewe.
 
Hahahahah Malafyale mi staki bwana akhaa!! ................... Yaani ukipigiwa simu uje kunyumba basi unajua kuwa waja kula tunda? Je kama nakuitia unisaidie kuua mende we utamuua kwa kutumia mandingo? Hahhahah

Nakala ya Mtambuzi ni kwa wazungu au nyie akina MwanajamiiOne mliokulia kwa washua!

Demu kanisumbua weweee then kanipigia leo usiku niende kwake,nikifika kwake nianze tena kuremba?It's very good idea but does not work Uswazi;huku ukichelewa kidogo tu kumtandaza miguu yake ataaga kama anataka kwenda kuchota maji na huwa wanasisitiza wakiondoka harudi hivi punde
 
Halafu aliyesema mimi sikosolewi hapa ni nani?
Mbona watu wananipa makavu na ninanywea tu mara nyingi.......

Unanivika kilemba cha ukoka bana.................. lara 1
Hata mimi akitokaga nje ya reli huwa namrudisha. Kitu kimoja kizuri sana kutoka kwa Mkuu Mtambuzi si mbishi, anapima uzito wa hoja mtu aliyotoa. Haiwezekani bora hoja umlazimishe Mtambuzi au mtu yeyote humu aikubali kwamba ni hoja bora.
 
Last edited by a moderator:
nmeipenda io mtambuz! kweli nivzr kuandaana kabla ya kufanya tendo kwan huwafanya wote wawil kuanza kuiva kabla ya tendo lenyew pia nahis mkishaiva inakua rahis kufika kunako climax bila ktumia nguvu nying na creativit ni muhimu pia kwan inakufanya ugundue points of weaknes za mwenzi wako! waoooh how wonderful love making wil be!
 
mahondaw upo?
Long time no see you here JF.............
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom