Makontena! Makontena! Makontena! (bei poa)

Ortega

JF-Expert Member
Jan 4, 2011
844
209
Yako bomba kabisa, Yana Document zote za kumiliki.
40feet Tsh 5.5ml na 20feet Tsh 4ml


Call: 0712 78 79 39
 
Unazo legal documents for ownership?...kinyume cha hapo hakuna biashara coz i need like 4 containers za 20 ft...na hiyo bei yako iko nje sana ya budget yetu...think of 3m per container ila sharti liwe linavielelezo vya umiliki halali ...

Sio unanunua kisha interpol wanakucha kukukamata kkwa kuwa na kibebeo kilichobebea mali iliyoibwa ugiriki mie niliyenunua tanzania nifungwe...namaanisha
 
mkuu usafiri vipi...kama nalihitaji A-town unaleta. ila bei kaka...
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom