Makongoro Nyerere Kugombea Arusha Mjini

"Makongoro?Ni muhunimuhuni tu huyo,chagueni mwingne",alsema mwalimu Nyerere.
Hakuna anayempenda MAKONGORO kuliko baba yake,mwl JK Nyerere.
Hvyo magamba wastegemee kutumia jina la mwl kujipatia nafuu!
 
Rufaa ya Lema inaletwa kwa wana Arusha. tutajua kati ya mahakama na wanaarusha nani zaidi.
 

MAKONGORO HAWEZIFANYA HUO UPUMBAFU. tetesi zinamtaja NAMELOKI SOKOINE kamamgombea!
 

Riz wani anafanyakazi gani!
 
Ccm wamefanya kosa kubwa sana kimkakati. Ukweli ni kwamba hawawezi kushinda jimbo la Arusha town bila kuiba kura na kuua watu. Wakibanwa kwenye mianya ya kuiba kura wataamua kutumia mabavu, matokeo yake wataua watu tena. Vyovyote iwavyo hapo imekula kwao.
 
Nini MAKONGORO; Hata baba yake atoke mzimuni aje agombee A Town atapigwa chini vilevile!
 
nini atamtaka huya kichaa, akiwa mbunge a-town alikonyoa baa huku akiwaambia watu waone mkojo wa mbunge wao, leo tukimrudisha si ndio atawanyea wapiga kura wake? ebu tuondolewe wenda wazimu A-town. kwanza nani kasema tunataka kusikia ccm?
 
Arusha mjini ni mali ya Chadema Magamba mnajidanganya bure ! mtapata aibu kubwa sana.
km hamjawahi kuona faulo kwenye siasa!mtaziona Arusha! ccm wamepanga kuitwaa arusha hata km wananchi watamwaga damu.Kwani umeya imekuwaje? Inasemekana Lema akisimamishwa,atawekewa pingamizi na chadema hawatakuwa na mgombea! Watafanya nini hapo?
 
hakuna mwanzo usiokuwa na mwisho, tukumbuke waingereza walitawala dunia karibia miaka 350 na pia uchumi ukaamia marekani tangu 1945 na sasa tunaona uchumi unahama kwenda Asia. basi hata CCM wanaelekea kufa ndio mana wanatapatapa. kwa hiyo makongoro akitaka kulindaheshima yake asigombee CCM mana kimekufa mvuto.
 
Kutoka kwenye ukoo wa nyerere hakumaanishi yakwamba nimuadirifu kama nyerere mweyewe!kuna watoto wa wachungaji na niwezi.
 

Anayegombea Ubunge Afrika Mashariki ni Madaraka sio Makongoro.
 
kwa Waarusha hata uwe na jina gani wanakutema ni mwiko kuchagua mtu aliyehama chama kama kiongozi atoke cha upinzani kuelekea cha mafisadi katika wakati huu wa uporaji mkubwa wa CCM unaondoa mvuto hata uwe nani huwezi shinda! Mbali ya hayo tutajieni Mbunge yeyote wa Upinzani ukiacha Wassira tangu historia ya vyama vingi aliyegombea jimboni (na si EA assembly) na akashinda!
 
ta kama wangeruhisiwa kugombea,mkapa,lowasa,felix mrema,makongoro na wengine wote hawezi kuiangusha chadema arusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…