Habari ambazo zimenifikia kutoka kwa mtu wa karibu na Makongoro zinasema kuwa ameamua atagombea Arusha Mjini kama atakosa Afrika Mashariki. Ni kweli jina la baba yake ni kubwa na ndio maana 1995 alishinda kirahisi Arusha. CCM wanaweza kumwona kama mtu muafaka maana alishinda mwaka 1995. Hata hivyo chadema ni maji marefu sana Arusha hawezi kushinda kwa maoni yangu
CCM wakitaka kulinda heshima yao bora wasisimamishe mgombea hii itawaepushia aibu na matumizi ya fedha yasiyo na tija. Katika watu 10 niliongea nao baada ya hukumu, wote 10 wanaiunga mkono CHADEMA
Wanaangaika hawa ccm kwahyo wamehujumu ili kumpima Makongoro kwa kamanda jembe la ukweli Lema?..wakubali tu CDM haina yeyeto wa kuizua kutoka hapo Lumumba str.
Hizi si enz zile tulizokuwa tunasema afadhali fulan alikuwa anafisad lakin maisha yalikuwa rahisi no tunahitaji mwatu sahihi mkapa ndie mwasisi wa ufisadi wote tunaouzungumzia leo
Labda wamrudishe tena Sioi!Maana siku yamatokeo alitia huruma mno,tutampa kura za pole ya Arumeru! Jamaa wametia hasara taifa!Wanategemea ushindi Arusha tena?Nadhani wamependa hali yahewa wanataka warudi Arusha wale bata!Si ndio zao?