Makongoro Nyerere : "JK ibaki kama Julius Kambarage na sio JK wengine"

Hahahahaha! Kaka huyu anajua kujipendekeza

Kabisa sio mtu wa kunyenyekea hawezi kuiva na JPM kwa ajili hiyo na ni mtu ambaye hana unafiki akichemsha atamuambia hata hadharani

Katika watu walimpigia Sana kampeni JPM ni makongoro na hajapewa kazi , hilo amesikika akisema mwenyewe kuwa hawezi kwenda kumuambia JPM ampe kazi Kwa sababu tu alimpigia kampeni

Kuongea na ucheshi ni silka tu kama JK ORIGINAL Na Jk Jakaya

Kikwete always toka enzi kijana huitwa hivyo hivyo JAKAYA
 
Mchonga kilikuwa kifupi cha mchonga meno. Kisa cha kuitwa mchonga meno ni sababu meno yake yalikuwa kama kweli yamechongwa!
Najua ila ilizoeleka kumwita mchonga na mzee wa kifimbo cheza maana hakukiacha alipoenda. Mzee wa zi zu mao maana alivaa nguo za mao tze tung za kichina.
 
Na akimpa? Nitakukumbusha kwa hii comment yako,recall mrema alivomsifia na baadae akapewa parole

Kama kumpa atampa tu ili amtumie 2020 maana ni mzuri kwenye public speaking kwa hotuba zake za kufikisha ujumbe kwa vibwagizo

Wakati anampiga kampeni alimuahidi ubunge na Uwaziri baada ya kushinda akaanza kukata kona
JPM hataki mtu mwenye guts za kumbishia na mako ni aina ya watu hawaogopi kumuambia mtu yeyote kitu
 
Kama kumpa atampa tu ili amtumie 2020 maana ni mzuri kwenye public speaking kwa hotuba zake za kufikisha ujumbe kwa vibwagizo

Wakati anampiga kampeni alimuahidi ubunge na Uwaziri baada ya kushinda akaanza kukata kona
JPM hataki mtu mwenye guts za kumbishia na mako ni aina ya watu hawaogopi kumuambia mtu yeyote kitu
We mbona kigeugeu mara hampi mara atampa,kuwa na msimamo
 
Ameanza vizuuri na speech yake ilikua poa,,, alikuja kuvuruga mwishoni kuanza kusifia ujinga ujinga wa jamhuri ya sokomoni!!
 
Mtoto wa Mwl Nyerere Anataka JK iwe Kifupi cha Julius Kambarage Na Sio JK wengine!Anahutubia Sasa Kwenye Sherehe za Kuzindua Jengo La PSPF Dodoma Hivi Sasa!

Ndio shida ya wabongo hata huyu mtoto wa kishua akikutana na Jiwe alitakiwa ampe black and white lakini anaongea Makorokocho hata yeye ukimuuliza kaongea nini yeye mwenyewe hajui.
 
Back
Top Bottom