jmushi1 Platinum Member Joined Nov 2, 2007 Posts 26,394 Reaction score 25,520 Nov 27, 2011 #61 daniel_mollel said: Makongoro mwenyewe alikataliwa na Mwl. Hata alipochaguliwa kuwa Mbunge wa Arusha Mwl aliwabeza watu wa Arusha na kusema wanaongozwa na kipofu. "Hana jipya". Click to expand... Kwani makongoro anataka kuongoza nchi? Hapa jali ujumbe tu mkuu,ndo la maana hapa. Kwani waliokubaliwa na mwalimu ndo vipi?Nani? Mr Clean?
daniel_mollel said: Makongoro mwenyewe alikataliwa na Mwl. Hata alipochaguliwa kuwa Mbunge wa Arusha Mwl aliwabeza watu wa Arusha na kusema wanaongozwa na kipofu. "Hana jipya". Click to expand... Kwani makongoro anataka kuongoza nchi? Hapa jali ujumbe tu mkuu,ndo la maana hapa. Kwani waliokubaliwa na mwalimu ndo vipi?Nani? Mr Clean?
majata JF-Expert Member Joined Oct 7, 2010 Posts 431 Reaction score 180 Nov 27, 2011 #62 Mipangomingi said: Hakuwahi kuwa malaika bali aliishi na malaika "Just reminding" Click to expand... Alikuwa malaika mwadilifu ila tamaa mbaya yakutaka kuabudiwa ikamfanya amuasi Mungu wa kweli, kwanzia uasi Huo akatambuliwa kama muasi na shetani.
Mipangomingi said: Hakuwahi kuwa malaika bali aliishi na malaika "Just reminding" Click to expand... Alikuwa malaika mwadilifu ila tamaa mbaya yakutaka kuabudiwa ikamfanya amuasi Mungu wa kweli, kwanzia uasi Huo akatambuliwa kama muasi na shetani.
Shine JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 11,481 Reaction score 1,372 Nov 27, 2011 #63 Makongoro Mwambie huyo Jk kwani amekuwa hasikii ni zaidi ya kiziwi
Mikael Aweda JF-Expert Member Joined Dec 17, 2010 Posts 3,129 Reaction score 4,285 Nov 28, 2011 #64 Ccm haikubaliki jumla, tusidanganyane kabisa. Hata huyo makongoro jk nyerere angesimamishwa kupitia ccm, hata pata kura za kutosha. Labda wachakachue.
Ccm haikubaliki jumla, tusidanganyane kabisa. Hata huyo makongoro jk nyerere angesimamishwa kupitia ccm, hata pata kura za kutosha. Labda wachakachue.