Watu wengi tuna-overlook hukumu ya Kigoma Mjini iliyofunguliwa Ally Mleh (CDM) akipinga ushindi wa mgombea wa CCM, Peter Serukamba nakumbuka ilitupiliwa mbali, na kesi ya Mkosamali wa NCCR jimbo la Muhambwe.Leo inangojewa kwa hamu kwa CCM na CDM kwani mpaka sasa ktk kesi za kupinga ubunge CCM ineshinda mechi za Arusha (Lema) pekee na wamepigwa chini Sumbawanga, Bihalamuro na Singida na leo inaelekea CDM kuendeleza ushindi. Wakati huohuo Ubungo na Igunga zangojewa. Ifahamike wizara ya sheria imezitaka mahakama kumaliza kesi zote tarehe 4/5/2012
Naelekea mahakamani kwa Updates zote. Kwa lugha ya Kiingereza au Kiswahili haijalishi
Kwahiyo mkuu wangu na hukumu ya Lema uliwekewa humu na ukaisoma kabla haijasomwa Mahakamani?
Moja ya sababu za JK kuchelewa kufanya kile anachokiita mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri ni pamoja na hukumu ya leo.
JK hataki kuonekana mbaya nia yake ni wengine wajipunguze wenyewe kumuondolea lawama, ukumbuke Makongoro Mahanga alikuwa ni mwanachama mwaminifu na muhimu kwenye kundi la wanamtandao na mtiifu kwa Lowasa.
Hukumu iko very clear Makongoro is out pasi na shaka yoyote.
Ulinzi mkubwa hivi huwa unaashiria nini? Wasiwasi wa nini tena?
Hawa sio walinda Usalama ni wauwaji.Tafadhali usidhalilishe walinda usalama wetu
Tafadhali usidhalilishe walinda usalama wetu
Usiongee kitu usichokijuwa, Katibu wa CCM mkoa wa Dar es salaam alishakuja jimboni kwetu Segera kuwaambia CCM wenzake wajiandae kwa uchaguzi mpya. hukumu iko wazi Makongoro is out, kila mwana CCM wa kweli ambaye yuko deeply analifahamu hili fika.
Angeacha flow ya report iwe kutoka diferent sosiz ili kupata kila kinachojiri bila kusahaulika hata neno moja. enewei sijui huyu mod wa zamu ni paw au invisible, naamini wamebana uhuru wetu wa kuhabarishana!!!!!!!!
...hiyo kesi ilifunguliwa na vilaza wa magamba kupinga ushindi wa mbunge wa Chadema mh Hines Kiwia mbunge wa jimbo la Ilemela Mwanza,wakili wa mh Kiwi(mb) alikuwa jembe mh Tundu Lisu(mbunge)...nikumbushe kidogo mkuu kuhusu kesi ya Ilemela kama hautajali!