Makongoro mahanga akamatwe Maakama kuu

Chibudee

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
1,775
2,400
Mahakama Kuu Dar yaamuru Dk Makongoro Mahanga akamatwe na kufikishwa mahakamani kufuatia kesi ya madai ya kiasi cha shilingi millioni 11 inayomkabili Waziri huyo wa zamani wa serikali ya awamu ya 4. [HASHTAG]#Mwananchi[/HASHTAG]

215b7603e45397990e120bafa94b2a1f.jpg


Sitii neno Mnao Jua sakata hili vyema tiririkeni Nisahii mahakama kumshtaki au kuna sinto fahamu
"MWAFA"
 
Walau haya mambo ya Mahakamani yanasababisha vyama viendelee kutajwa na kukumbukwa na wananchi maana hakuna Mikutano.
 
MIllion 11 za mboga ................ sasa lini ataanza kuwafuatilia wale waliobeba pesa za ESCROW kwenye viloba, magunia na masandarusi!!!

No wonder kuna watu hawatahama CCM ..... no matter what!! Maana ukitoka tu hauko salama tena!! Lowasa tu ndiyo inaelekea wamemshindwa!!
 
Back
Top Bottom