Makongo high school | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makongo high school

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Michael Mwakyusa, Jun 15, 2012.

 1. M

  Michael Mwakyusa JF-Expert Member

  #1
  Jun 15, 2012
  Joined: Mar 18, 2012
  Messages: 307
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Natoa pongezi kwa shule ya sekondari makongo imetoa wengi kimichezo na kitaaluma,hawa wamesoma makongo.kaseja, pawasa,kalala junior,bambo,marehemu chifupa ,jose mara,nk.jamani makongo mbona siisikii tena?.nawakilisha wana jf.
   
 2. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #2
  Jun 16, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,631
  Likes Received: 1,990
  Trophy Points: 280
  Hii nayo ni thread ati?
   
 3. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #3
  Jun 16, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,003
  Likes Received: 1,077
  Trophy Points: 280
  HAta mimi nashangaa mkuu, enzi zetu 99s MAkongo ilikuwa noma, ila kwa sasa Div 0 na 4 za kumwaga
   
Loading...