Makonda wote akili zao ni sawa?

Kwa mwanza ili uwe kwenye umoja Wa makondakta lazima uvute bangi na uwe mbabe ndo unasajiriwa. Mm najua hlo tu mkuuu
 

umetumia lugha ya kificho si ajabu hata makonder mwenyewe hatojua kama umemsengenya yeye. safi sana mtoa post
 
Kwani makonda ndo nani ? Mi niko dar maana nasikia sikia makonda hivi ni nani?
uko Dar sehemu gani mkuu?mbona makonda wapo kila daladala hapo Dar?mbezi-kimara-ubungo kuna makonda wengi,ubungo-mwenge-makumbusho wapo pia,mwenge-kawe-tegeta-bagamoyo pia wapo,ubungo-k/koo-posta utawapata,ubungo-buguruni-temeke hadi chanika mbona wapo,....mkuu labda we uko Dar ya magazetini..
 
hata makaonda mkuu wa mkoa yuko kama hao??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…