PAYE
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 354
- 395
Mgombea ubunge wa jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Paul Christian Makonda amepongeza mapinduzi makubwa yaliyofanywa na mgombea urais kupitia chama hicho Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika ujenzi wa miundombinu na uendeshaji wa treni na reli ya mwendokasi (SGR).
Aidha Makonda amegusia ajali ya treni hiyo iliyotokea mnamo Oktoba 23, 2025 akisema kuwa wasioitakia mema nchi waliumia kuona hakuna kifo kilichotokana na ajali hiyo na huduma kurejeshwa ndani ya saa mbili pekee.
Ameyasema hayo leo Oktoba 28, 2025 kwenye mkutano wa kufunga kampeni za mgombea urais wa CCM, unaofanyika katika viwanja vya CCM Kirumba, Jijini Mwanza.