DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Arusha Mjini Poul Makonda amesema kuwa wanaombeza Mgombea wa kiti Cha Urais Kwa Tiketi ya CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan watakuwa na Matatizo hata na familia zao
Makonda ameyasema hayo Leo Oct 13,2025 Katika Uwanja wa maonesho wa Dkt. Samia Geita Mjini Mkoani Geita kwenye mwendelezo wa Mikutano ya Kampeni za uchaguzi Mkuu 2025 ya Dkt. Samia
Makonda amesema kuwa wao kazi Yao kubwa ni kuzungumzia Yale ambayo yamefanywa na Dkt. Samia hususani kwenye Maendeleo ya Taifa na kwa wale ambao hawapendi watakuwa na matatizo.