establishment
JF-Expert Member
- Jun 27, 2015
- 1,632
- 2,448
Mhe Makonda karibu jimboni Arusha utuwekee mazingira mazuri ya CCM kushinda 2025. Mhe Lema uchaguzi 2025 haitakua rahisi jiandae kisaikolojia.
Kwanini anaenda kuwa ushindi wa CCM au kuwahudumia wananchi? Lkn pia awe makini. Ya Sabaya iwe funzo kwa wengineMhe Makonda karibu jimboni Arusha utuwekee mazingira mazuri ya CCM kushinda 2025. Mhe Lema uchaguzi 2025 haitakua rahisi jiandae kisaikolojia.
Tanzania hakuna UCHAGUZI kuna TEUZI tu nafasi zoteMhe Makonda karibu jimboni Arusha utuwekee mazingira mazuri ya CCM kushinda 2025. Mhe Lema uchaguzi 2025 haitakua rahisi jiandae kisaikolojia.