Desprospero
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 1,015
- 2,512
Wewe na Samia mtapoteana muda si mrefu. Chukua hiyo![emoji3064][emoji848][emoji2827]Bahenga walisema sikio la kufa halisikii dawa. Mwenezi unadai kuna watu wanataka kukuua. Tena si upinzani Bali ni CCM. Unakichafua chama chako mwenyewe kuwa na wauaji
Sasa nakutonya, uko kwenye mtego ndio maana kwenye maadhimisho ya miaka 47 hukusikia kiongozi mwengine ngazi ya Taifa akiongea zaidi ya Kinana.
Ni hivi, umeachwa uzunguke mikoa yote tena shangaa walivyokuongezea posho ghafla. Umetegwa ukimaliza mikoa yote then utafanya nini? Kwishney, hapo ndipo wakubwa zako wataanza kukunanga na wewe. Kwa Sasa wanakucheka sana. Wewe ni jiwe linaloandaliwa kuwa chanzo cha ajali ya kisiasa kwa Rais Samia Suluhu Hassan 2025. Endelea kuzunguka huku wakimzunguka mama. Wewe na Samia mtapoteana muda si mrefu. Chukua hiyo!
hizi nchi zetu zinahitaji watawala makatili. Watu wameshindwa kujisimamia. Majitu yamezidi uzembe kazini ni kuiba tu na kulindana. Makonda ana backup ya TISS. kuna wakati tutaweka siasa pembeni, tutaenda na uhalisia. Siasa zinatuchelewesha sana! shithole!!!!!!Bahenga walisema sikio la kufa halisikii dawa. Mwenezi unadai kuna watu wanataka kukuua. Tena si upinzani Bali ni CCM. Unakichafua chama chako mwenyewe kuwa na wauaji
Sasa nakutonya, uko kwenye mtego ndio maana kwenye maadhimisho ya miaka 47 hukusikia kiongozi mwengine ngazi ya Taifa akiongea zaidi ya Kinana.
Ni hivi, umeachwa uzunguke mikoa yote tena shangaa walivyokuongezea posho ghafla. Umetegwa ukimaliza mikoa yote then utafanya nini? Kwishney, hapo ndipo wakubwa zako wataanza kukunanga na wewe. Kwa Sasa wanakucheka sana. Wewe ni jiwe linaloandaliwa kuwa chanzo cha ajali ya kisiasa kwa Rais Samia Suluhu Hassan 2025. Endelea kuzunguka huku wakimzunguka mama. Wewe na Samia mtapoteana muda si mrefu. Chukua hiyo!
Bonge la fitnaBahenga walisema sikio la kufa halisikii dawa. Mwenezi unadai kuna watu wanataka kukuua. Tena si upinzani Bali ni CCM. Unakichafua chama chako mwenyewe kuwa na wauaji
Sasa nakutonya, uko kwenye mtego ndio maana kwenye maadhimisho ya miaka 47 hukusikia kiongozi mwengine ngazi ya Taifa akiongea zaidi ya Kinana.
Ni hivi, umeachwa uzunguke mikoa yote tena shangaa walivyokuongezea posho ghafla. Umetegwa ukimaliza mikoa yote then utafanya nini? Kwishney, hapo ndipo wakubwa zako wataanza kukunanga na wewe. Kwa Sasa wanakucheka sana.
Wewe ni jiwe linaloandaliwa kuwa chanzo cha ajali ya kisiasa kwa Rais Samia Suluhu Hassan 2025. Endelea kuzunguka huku wakimzunguka mama. Wewe na Samia mtapoteana muda si mrefu. Chukua hiyo!
Kwamba akimaliza kuzunguka mikoa 20 atafanya nini!? Wewe ndo ulimpangia hiyo ziara? Ulitaka azunguke mikoa mingapi ili akuridhishe wewe shujaa wa mitandaoni?Bahenga walisema sikio la kufa halisikii dawa. Mwenezi unadai kuna watu wanataka kukuua. Tena si upinzani Bali ni CCM. Unakichafua chama chako mwenyewe kuwa na wauaji
Sasa nakutonya, uko kwenye mtego ndio maana kwenye maadhimisho ya miaka 47 hukusikia kiongozi mwengine ngazi ya Taifa akiongea zaidi ya Kinana.
Ni hivi, umeachwa uzunguke mikoa yote tena shangaa walivyokuongezea posho ghafla. Umetegwa ukimaliza mikoa yote then utafanya nini? Kwishney, hapo ndipo wakubwa zako wataanza kukunanga na wewe. Kwa Sasa wanakucheka sana.
Wewe ni jiwe linaloandaliwa kuwa chanzo cha ajali ya kisiasa kwa Rais Samia Suluhu Hassan 2025. Endelea kuzunguka huku wakimzunguka mama. Wewe na Samia mtapoteana muda si mrefu. Chukua hiyo!
kwaa hiyo hata wakati ule akiwa mkuu wa mkoa alikuwa na backup ya TISS? basi sawa ngoja niendelee kuangalia muvi hiihizi nchi zetu zinahitaji watawala makatili. Watu wameshindwa kujisimamia. Majitu yamezidi uzembe kazini ni kuiba tu na kulindana. Makonda ana backup ya TISS. kuna wakati tutaweka siasa pembeni, tutaenda na uhalisia. Siasa zinatuchelewesha sana! shithole!!!!!!
Ni kweli kabisa, ninaona mahesabu ya kisiasa yakimkataaBahenga walisema sikio la kufa halisikii dawa. Mwenezi unadai kuna watu wanataka kukuua. Tena si upinzani Bali ni CCM. Unakichafua chama chako mwenyewe kuwa na wauaji
Sasa nakutonya, uko kwenye mtego ndio maana kwenye maadhimisho ya miaka 47 hukusikia kiongozi mwengine ngazi ya Taifa akiongea zaidi ya Kinana.
Ni hivi, umeachwa uzunguke mikoa yote tena shangaa walivyokuongezea posho ghafla. Umetegwa ukimaliza mikoa yote then utafanya nini? Kwishney, hapo ndipo wakubwa zako wataanza kukunanga na wewe. Kwa Sasa wanakucheka sana.
Wewe ni jiwe linaloandaliwa kuwa chanzo cha ajali ya kisiasa kwa Rais Samia Suluhu Hassan 2025. Endelea kuzunguka huku wakimzunguka mama. Wewe na Samia mtapoteana muda si mrefu. Chukua hiyo!
Sii kweli kuwa anakichafua chama chake kuwa ni wauaji, kwasababu huo ndio ukweli wenyewe!, labda kosa lake liwe ni kuusema ukweli huo!. Kati ya matukio yote yaliyoripotiwa ya viongozi kutaka kuuwawa kwa sumu, kuna lolote wahusika ni wapinzani?.Bahenga walisema sikio la kufa halisikii dawa. Mwenezi unadai kuna watu wanataka kukuua. Tena si upinzani Bali ni CCM. Unakichafua chama chako mwenyewe kuwa na wauaji
😳huenda anatumika huyu kijana? Maskini...Bahenga walisema sikio la kufa halisikii dawa. Mwenezi unadai kuna watu wanataka kukuua. Tena si upinzani Bali ni CCM. Unakichafua chama chako mwenyewe kuwa na wauaji
Sasa nakutonya, uko kwenye mtego ndio maana kwenye maadhimisho ya miaka 47 hukusikia kiongozi mwengine ngazi ya Taifa akiongea zaidi ya Kinana.
Ni hivi, umeachwa uzunguke mikoa yote tena shangaa walivyokuongezea posho ghafla. Umetegwa ukimaliza mikoa yote then utafanya nini? Kwishney, hapo ndipo wakubwa zako wataanza kukunanga na wewe. Kwa Sasa wanakucheka sana.
Wewe ni jiwe linaloandaliwa kuwa chanzo cha ajali ya kisiasa kwa Rais Samia Suluhu Hassan 2025. Endelea kuzunguka huku wakimzunguka mama. Wewe na Samia mtapoteana muda si mrefu. Chukua hiyo!
Tiss! 🤣 🤣 🤣hizi nchi zetu zinahitaji watawala makatili. Watu wameshindwa kujisimamia. Majitu yamezidi uzembe kazini ni kuiba tu na kulindana. Makonda ana backup ya TISS. kuna wakati tutaweka siasa pembeni, tutaenda na uhalisia. Siasa zinatuchelewesha sana! shithole!!!!!!
Mbio za sakafuni huishia ukingoni.Bahenga walisema sikio la kufa halisikii dawa. Mwenezi unadai kuna watu wanataka kukuua. Tena si upinzani Bali ni CCM. Unakichafua chama chako mwenyewe kuwa na wauaji
Sasa nakutonya, uko kwenye mtego ndio maana kwenye maadhimisho ya miaka 47 hukusikia kiongozi mwengine ngazi ya Taifa akiongea zaidi ya Kinana.
Ni hivi, umeachwa uzunguke mikoa yote tena shangaa walivyokuongezea posho ghafla. Umetegwa ukimaliza mikoa yote then utafanya nini? Kwishney, hapo ndipo wakubwa zako wataanza kukunanga na wewe. Kwa Sasa wanakucheka sana.
Wewe ni jiwe linaloandaliwa kuwa chanzo cha ajali ya kisiasa kwa Rais Samia Suluhu Hassan 2025. Endelea kuzunguka huku wakimzunguka mama. Wewe na Samia mtapoteana muda si mrefu. Chukua hiyo!
CCM imechelewa?? Ziara mabarabarani toka kipindi cha Mwendazake mpaka leo wamechelewa! Ajabu kweli!Kwamba akimaliza kuzunguka mikoa 20 atafanya nini!? Wewe ndo ulimpangia hiyo ziara? Ulitaka azunguke mikoa mingapi ili akuridhishe wewe shujaa wa mitandaoni?
Ungekuwa na akili ungetambua kwamba hata hiyo ziara CCM wamechelewa sana sana. Chaguzi ni kesho tu hapo!! Endeleeni kukatisha Makalio yenu mwenzenu anamaliza Kampeni za uchaguzi
Bahenga walisema sikio la kufa halisikii dawa. Mwenezi unadai kuna watu wanataka kukuua. Tena si upinzani Bali ni CCM. Unakichafua chama chako mwenyewe kuwa na wauaji
Sasa nakutonya, uko kwenye mtego ndio maana kwenye maadhimisho ya miaka 47 hukusikia kiongozi mwengine ngazi ya Taifa akiongea zaidi ya Kinana.
Ni hivi, umeachwa uzunguke mikoa yote tena shangaa walivyokuongezea posho ghafla. Umetegwa ukimaliza mikoa yote then utafanya nini? Kwishney, hapo ndipo wakubwa zako wataanza kukunanga na wewe. Kwa Sasa wanakucheka sana.
Wewe ni jiwe linaloandaliwa kuwa chanzo cha ajali ya kisiasa kwa Rais Samia Suluhu Hassan 2025. Endelea kuzunguka huku wakimzunguka mama. Wewe na Samia mtapoteana muda si mrefu. Chukua hiyo!
Hivi Makonda kasema kuna watu wanataka kumuua? Mwenye clip naomba aiweke au link....Wewe na Samia mtapoteana muda si mrefu. Chukua hiyo![emoji3064][emoji848][emoji2827]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee Paskali taratibu, unaongeaga kwa ndimi nyingi, kuna mungu wengi! Hata wa Gambosh naye ni mungu!Sii kweli kuwa anakichafua chama chake kuwa ni wauaji, kwasababu huo ndio ukweli wenyewe!, labada kosa lake liwe ni kuusema ukweli huo!. Kati ya matukio yote yaliyoripotiwa ya viongozi kutaka kuuwawa kwa sumu, kuna lolote wahusika ni wapinzani?.
Makonda ni mpango wa Mungu, ni mpakwa mafuta wa Bwana anayeongozwa na roho wa Mungu. Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni
Kuhusu hii amsha amsha anayoendelea mayo, sisi kaka zake tumeisha mpa Makonda angalizo Pongezi Paul Makonda kuifufua CCM kwa amsha amsha. Twende mdogomdogo ngoma ikivuma sana inakaribia kupasuka!
Na niliwaeleza watu humu kuwa Nikimwangalia Makonda, mambo anayoyafanya namuona kama Magufuli
Namalizia kwa swali hili Bado kuna ubishi kuwa hiki ni chuma? Je, chuma hiki ni chuma kingine ila ni kama kile au chuma hiki ni kile kile kimerejea kivingine?
P
Kweli siasa hasa Africa ni uongo mtupu na ndio maana tunabaki maskini siku zote. Hao tunaowaita wapakwa mafuta/mpango wa Mungu ndio hao wanaotuhadaa kila siku na la ajabu zaidi wasomi kama wewe mnawashabikia, sijui hata mnajisikiaje?!Sii kweli kuwa anakichafua chama chake kuwa ni wauaji, kwasababu huo ndio ukweli wenyewe!, labada kosa lake liwe ni kuusema ukweli huo!. Kati ya matukio yote yaliyoripotiwa ya viongozi kutaka kuuwawa kwa sumu, kuna lolote wahusika ni wapinzani?.
Makonda ni mpango wa Mungu, ni mpakwa mafuta wa Bwana anayeongozwa na roho wa Mungu. Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni
Kuhusu hii amsha amsha anayoendelea mayo, sisi kaka zake tumeisha mpa Makonda angalizo Pongezi Paul Makonda kuifufua CCM kwa amsha amsha. Twende mdogomdogo ngoma ikivuma sana inakaribia kupasuka!
Na niliwaeleza watu humu kuwa Nikimwangalia Makonda, mambo anayoyafanya namuona kama Magufuli
Namalizia kwa swali hili Bado kuna ubishi kuwa hiki ni chuma? Je, chuma hiki ni chuma kingine ila ni kama kile au chuma hiki ni kile kile kimerejea kivingine?
P
Usidanganywe, hao walio ndani ya serikali wanaelewa kelele za Makonda ni mradi wa mama kurejesha matumaini ya chama bila kujua ana angushwa yeye.hizi nchi zetu zinahitaji watawala makatili. Watu wameshindwa kujisimamia. Majitu yamezidi uzembe kazini ni kuiba tu na kulindana. Makonda ana backup ya TISS. kuna wakati tutaweka siasa pembeni, tutaenda na uhalisia. Siasa zinatuchelewesha sana! shithole!!!!!!
Aisee , nimegundua kitu Samia alikuwa sahihi kumteua Makonda , pale Samia kazungukwa na vibaka aiseeBahenga walisema sikio la kufa halisikii dawa. Mwenezi unadai kuna watu wanataka kukuua. Tena si upinzani Bali ni CCM. Unakichafua chama chako mwenyewe kuwa na wauaji
Sasa nakutonya, uko kwenye mtego ndio maana kwenye maadhimisho ya miaka 47 hukusikia kiongozi mwengine ngazi ya Taifa akiongea zaidi ya Kinana.
Ni hivi, umeachwa uzunguke mikoa yote tena shangaa walivyokuongezea posho ghafla. Umetegwa ukimaliza mikoa yote then utafanya nini? Kwishney, hapo ndipo wakubwa zako wataanza kukunanga na wewe. Kwa Sasa wanakucheka sana.
Wewe ni jiwe linaloandaliwa kuwa chanzo cha ajali ya kisiasa kwa Rais Samia Suluhu Hassan 2025. Endelea kuzunguka huku wakimzunguka mama. Wewe na Samia mtapoteana muda si mrefu. Chukua hiyo!
Hli furaha naisubiria kwa hamu kubwa sana.Wewe na Samia mtapoteana muda si mrefu. Chukua hiyo