Makonda: Ukawa Wanapokea Sh. 450,000/= Kwa Siku!

Kazi kweli kweli.. Kwa hiyo Makonda yeye ndio cashier anayegawa hizo 450,000 kwa UKAWA au ndio yale yale ya domokaya?
 
Makonda ni nani?

Makonda ni aina vijana walioko ccm wanaoandaa propaganda chafu ndani ya ccm kusudi mwenyekiti wake ampe cheo kamA alivyopata mjumbe Wa katiba pia anaona mwigulu ameshiriki kwenye utekaji,ugaidi na kuua na pia kumbambikizia wtu kesi kptia policcm na kupewa naibu ktbu ccm na n/waziri Wa fedha kwahiyo Anapenda awe mzushi kusudi azidi kujipendekeza kwa mwenyekiti ccm make sifa za ccm ili uonekane bora uwe katili kwa wapinzani hsa chadema.
 
Wapewe wasipewe msimamo wao uko sahihi kwani wanafuata sheria kwa Rais kuunda tume ya katiba na kuteua Bunge maalumu la katiba ili lipitie Rasimu ya Tume na si vinginevyo!

Sasa kama Katiba Mpya haikuwa sera ya chama tawala na sasa wameona itawaweka pabaya basi Rais aamue kuachana na mpango mzima hadi serikali mpya itakapoanza.
 

Na mtabiri wao ameshafariki sijui nani anawatabiria.
 
Makonda ana njaa kali ni kama ch.angu..doa asiye na nyumba ya kulala.....ccm ndicho kinachokufa
 
Mi nadhani makonda kichwani hamna kitu,katiba mpya imepiganiwa sana na wapinzani,iweje leo waharibu huo mchakato?huyu dogo haana kitu kichwani.
 
Makonda ametumwa aseme hivyo, awaulize waliomtuma ni nchi gani hizo? zimeichoka ccm? Kwani serikali haiwezi kuzuia hizo fedha?
 

Makonda ni mpambe wa Sitta na hivyo sitarajii hata siku moja asiropoke maana ndiye aliyemfikisha hapo na tangu awe TAHLISO amekuwa akitumika vile. Hata hivyo hizo ni mbio tu ukingo wa sakafu ukiwadia basi na mwisho wake utakuwa umewadia.

Nape Nnauye ni kawaida yake kuropoka akisaidiwa na Wasira. Hawa ni mavuvuzela wa kawaida sana ndani ya ccm na hivyo uropokaji wake hauna madhara kwa upinzani.

Wataendelea kupiga kelele lakini bado "Hawatazuia ng'ombe kunywa maji''
 

Poor makonda ??????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…