Makonda uadilifu ameanza lini?

Bila shaka ni punga hilo.

Tuhuma zote hizo ina maana hii nchi haina hata mgambo achilia mbali takukuru, Tiss, polis, n.k??
 
Nchi ya ajabu sana hii, eti huyu gangstar ni kiongozi. Naye anaongelea uadilifu. This country fu@#££cks her people
Sheria za Tanzania zinakuruhusu kufungua Kesi kwa mtu aliyetenda jinai. Sasa basi, Kwa nini msimshitaki Makonda kama mna ushaidi na hayo mambo mnayomsingizia ili atiwe hatiani?

Mwanaume kama wewe kuwa na gubu, wivu na chuki kwa binadamu bila Ushahidi ni aibu na ujinga uliopitiliza. Mwanaume unakuwaje hivyo jamani!

Makonda alikuwa nje ya mfumo kwa miaka 4 kwa nini hakumshitaki?
Anashitakiwa Spika wa Bunge na mawazri kwa nini Makonda hashitakiwi kama mnaoushahidi!

Kwa mtizamo wenu TEAM JANUARY MAKAMBA mnataka tuamini maneno matupu na hisia zenu!
 
Ni Tanzania pekee mtumishi wa serikali anainunulia serikali vifaa!
 
Kama Mawingu na ujanja wao na ushahidi wa wazi walimshindwa unadhani nani atasimama mahakamani dhidi yake?
 
Makonda ni kielelezo Cha Viongozi wanaotuongoza,Wana Sifa kama ulizoziorozesha za Makonda,ndio Maana wanamuona kama anafaa kupewa Utumishi wa Umma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…