Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,537
- 49,409
Acha uongoMakonda akili kubwa , Ukiwa na kichwa maji lazima utamjadili juu juu.
Ngoja nikuulize, Makonda anapata wapi Hela za kuzawadia Pikipiki Jeshi la Polisi, Magari??
Kwahiyo nahilo unasema ni wizi ? Udhulumaji?.
Kuhusu Marekan, ni Kwa sababu ya Makonda kupambana na mashogam..wee ni shoga?.
Kwambaπ€Hivi kwanini mtu akishindikana nje anapelekwa Mzena?
Ni swali tuKwambaπ€
Uongo gan? Habari za Pikipiki, Magari huko Arusha, wee huzioni?.Acha uongo
Utaanzishwa uchunguzi wa kina kama kuna Brigedia aliwahi kumiliki hizo mali kwa kutumia wapelelezi binafsi kujua Aa na Chee!Je ukiambiwa hizo pesa ni za urithi baada ya kuuza mashamba makubwa ya tumbaku kule Tabora aliyoachiwa na Marehemu Baba yake Brigedia Jenerali mstaafu Bashite.
πππππππMakonda akili kubwa , Ukiwa na kichwa maji lazima utamjadili juu juu.
Ngoja nikuulize, Makonda anapata wapi Hela za kuzawadia Pikipiki Jeshi la Polisi, Magari??
Kwahiyo nahilo unasema ni wizi ? Udhulumaji?.
Kuhusu Marekan, ni Kwa sababu ya Makonda kupambana na mashogam..wee ni shoga?.
Umejibu kiwepesi Mkuu. Kiufupi ejibu kikasuku. Mtoa mada anataka kujua kivipi kijana mdogo hasiye na biashara kubwa RC ndani ya muda mfupi aweze kununua gari la 200M, amiliki jumba la bilioni? Kuna mfanya biashara anaweza kukupa bilioni bila kutegemea fadhila na kulindwa?.Makonda akili kubwa , Ukiwa na kichwa maji lazima utamjadili juu juu.