Makonda: (Short Video) Hachuji anachoongea

Makonda: (Short Video) Hachuji anachoongea

Hii tabia siku hizi inazidi kukomaa kwa huyu jamaa, hapo anazisema gari ndogo ndogo bila kufikiri kuwa wengi wa waliohudhuria hapo watakuwa na hivyo 'vigari vya kuhongwa hongwa' kama anavyosema mwenyewe.

Sipati picha uko na mke wako hapo mnatoka kwenye hiyo shughuli mnarudi kupanda Toyota RAUM au IST yenu, mke akiangalia pembeni kuna BMW X3 imepark, lazima mke akuone kakiazi fulani hivi.

Jamaa anajua kudhalilisha sana bila kuangalia wanaomsikilizaView attachment 1112860
Halafu akina mama wanamshangilia

Hao wanaume wawili wanamshangaa!!!

1614093307526.png
 
Back
Top Bottom