supercharger GT
JF-Expert Member
- Sep 18, 2014
- 1,023
- 1,976
Hii tabia siku hizi inazidi kukomaa kwa huyu jamaa, hapo anazisema gari ndogo ndogo bila kufikiri kuwa wengi wa waliohudhuria hapo watakuwa na hivyo 'vigari vya kuhongwa hongwa' kama anavyosema mwenyewe.
Sipati picha uko na mke wako hapo mnatoka kwenye hiyo shughuli mnarudi kupanda Toyota RAUM au IST yenu, mke akiangalia pembeni kuna BMW X3 imepark, lazima mke akuone kakiazi fulani hivi.
Jamaa anajua kudhalilisha sana bila kuangalia wanaomsikiliza