Buzuruga Stendi
Member
- May 11, 2016
- 75
- 149
Amesahau kwamba yeye ndie sababu ya Lissu kuwa nje.Polisi, Msajili, NEC, TISS, wote wanahangaika na mtu mmoja(LISSU), alafu huyu anaongea ujinga gani sijui!
Alisema wapi kijana kuwa na akili Lisu ni mmiliki wa kiwanda cha uongo chademaLissu anadai na kumtaja hadharani Huyu mkuu wa mkoa mstaafu kuwa ni moja kati ya vijana waliotumwa kufanikisha shambulizi la Mauaji ya Lissu.
Lissu huwa ni mkweli siku zote, sijawahi kumuona akiwa mnafiki na Muongo.
Mungu anshughulika na watesi wote wa Lissu.
Kuhusu makinikia aliongopa au aliongea ukweli?Lissu anadai na kumtaja hadharani Huyu mkuu wa mkoa mstaafu kuwa ni moja kati ya vijana waliotumwa kufanikisha shambulizi la Mauaji ya Lissu.
Lissu huwa ni mkweli siku zote, sijawahi kumuona akiwa mnafiki na Muongo.
Mungu anshughulika na watesi wote wa Lissu.
Wale characters waliopo kwenye kitabu cha A man of the people ndio wamejaa kwenye uongozi wa huuHuyu jamaa si ndio mtanzania mwenye IQ ndogo zaidi
Makonda hana tofauti na jambazi sugu, kungekuwa na rule of law, muda huu Makonda alipaswa awe ananyea debe Segerea au Keko kwa kuwanyima watz haki yao ya kuishi.Kolomije boy siku hizi anahojiwa na vi channel uchwara vya youtube