Uchaguzi 2020 Makonda: Rais wa kwanza CHADEMA bado yuko shule ya msingi, hawa wa sasa wanarukaruka

Yaani wewe mtoto Makonda unanikosha mimi wewe mtoto wewe.Yaani unawapa yale ambayo yana ukweli asilimia mia moja.Halafu mgombea anachekelea akiwa ndani ya mwendo kasi ambavyo ni 'vitu' visivyomsaidia mwanannchi.
Makonda ,jiji limezubaa utadhani tuko kwenye matanga.Hakuna tena amshaamsha.
Nadhani Hajui Kuwa Umoja, Upendo, Mshikamano Upo Kwasababu Ya Uoga Wetu Watanzania, Mwaka Ambao Tutaondoa Nidhamu Ya Uoga Na Kuwachagua Viongozi Tunaowataka Na Kuhakikisha Tunawasimamia Wanapatikana Hayo Maneno Tunayaweka Pembeni Kwanza...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
K
Lissu anadai na kumtaja hadharani Huyu mkuu wa mkoa mstaafu kuwa ni moja kati ya vijana waliotumwa kufanikisha shambulizi la Mauaji ya Lissu.

Lissu huwa ni mkweli siku zote, sijawahi kumuona akiwa mnafiki na Muongo.

Mungu anshughulika na watesi wote wa Lissu.
Kama anamjua aliyefanya unyama huo si angekwenda kufungua mashtaka Mahakamani ikizingatiwa kuwa yeye ni mwanasheria?
Hapo tunadanganyana tu.
 
Makonda ndio nani kwenye hii nchi. Wanaibuka watu wa miaka ya Before christ (BC) uko wana ongea pumba
 
Leo alipokuwa anatoka kanisani aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda alifanya mahojiano na channel ya mtandaoni inayoitwa Sauti za watu maarufu na kuulizwa anaona "je ni kweli Lissu anaweza kuwa rais 2020?"

Makonda : hawa wanarukaruka tu, CHADEMA bado sana kuchukua nchi, rais wa kwanza kama yupo basi atakuwa darasa la tatu au la nne anajiandaa na mtihani wa taifa,sio hawa wanaokaa miaka minne nje halafu wiki mbili kabla ya uchaguzi wananunua mitumba Manzese na kudai tayari wanajua shida za wananchi"

Wadau yapi maoni yako.
Huyu nae hajitambui, mungu amemkataa ,amemkataa ,na amemkataa siku yake ukifika atajuta
 
Leo alipokuwa anatoka kanisani aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda alifanya mahojiano na channel ya mtandaoni inayoitwa Sauti za watu maarufu na kuulizwa anaona "je ni kweli Lissu anaweza kuwa rais 2020?"

Makonda : hawa wanarukaruka tu, CHADEMA bado sana kuchukua nchi, rais wa kwanza kama yupo basi atakuwa darasa la tatu au la nne anajiandaa na mtihani wa taifa,sio hawa wanaokaa miaka minne nje halafu wiki mbili kabla ya uchaguzi wananunua mitumba Manzese na kudai tayari wanajua shida za wananchi"

Wadau yapi maoni yako.
Kawaambia ukweli, ila wabishi hawa na raisi wao wa miga
 
Leo alipokuwa anatoka kanisani aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda alifanya mahojiano na channel ya mtandaoni inayoitwa Sauti za watu maarufu na kuulizwa anaona "je ni kweli Lissu anaweza kuwa rais 2020?"

Makonda : hawa wanarukaruka tu, CHADEMA bado sana kuchukua nchi, rais wa kwanza kama yupo basi atakuwa darasa la tatu au la nne anajiandaa na mtihani wa taifa,sio hawa wanaokaa miaka minne nje halafu wiki mbili kabla ya uchaguzi wananunua mitumba Manzese na kudai tayari wanajua shida za wananchi"

Wadau yapi maoni yako.
Sio ajabu hata baada ya kumshindilia utitili wa marisasi hakutegemea kumwona akiwa hai.
 
Leo alipokuwa anatoka kanisani aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda alifanya mahojiano na channel ya mtandaoni inayoitwa Sauti za watu maarufu na kuulizwa anaona "je ni kweli Lissu anaweza kuwa rais 2020?"

Makonda : hawa wanarukaruka tu, CHADEMA bado sana kuchukua nchi, rais wa kwanza kama yupo basi atakuwa darasa la tatu au la nne anajiandaa na mtihani wa taifa,sio hawa wanaokaa miaka minne nje halafu wiki mbili kabla ya uchaguzi wananunua mitumba Manzese na kudai tayari wanajua shida za wananchi"

Wadau yapi
Kwenye uchaguzi wa mwaka 1995 wapigakura tulitendewa haki kupitia mdahalo wa wazi. Mdahalo umgesaidia sana kutuonyesha kama wagombea urais waliosimamishwa na vyama vya upinzani wanatosha au la.
 
Afadhari wewe mungu ameisha kufunulia maonoi kuwa siku za ccm kuwa madarakani zinahesabika wenzako hufikili itadumu milele. Haya maono yametokana na mziki wa lissu ambao hakuna aliyetegemea na kutoa jawabu kuwa cku zinahesabika kwa chama hiki kongwe
 
Leo alipokuwa anatoka kanisani aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda alifanya mahojiano na channel ya mtandaoni inayoitwa Sauti za watu maarufu na kuulizwa anaona "je ni kweli Lissu anaweza kuwa rais 2020?"

Makonda : hawa wanarukaruka tu, CHADEMA bado sana kuchukua nchi, rais wa kwanza kama yupo basi atakuwa darasa la tatu au la nne anajiandaa na mtihani wa taifa,sio hawa wanaokaa miaka minne nje halafu wiki mbili kabla ya uchaguzi wananunua mitumba Manzese na kudai tayari wanajua shida za wananchi"

Wadau yapi maoni yako.
Asubiri akiomba JPM apite ili ateuliwe. Yeye, Katambi, na Mayala ni "opportunists".
 
Paulo Makonda anajisikiaje akimuona mtu aliyempangia shambulio la mauaji anakuwa popular and inflential kuliko yeye zero brain wa taifa ?

Sent using Jamii Forums mobile app
In my humble opinion Makonda has never been popular. If anything, he has been a disgrace to public office. Kitu pekee anachoweza ni kutumwa kazi chafu ya kisiasa. Na hiyo kazi chafu ndiyo inayopelekea kupigana kufa na kupona kuhodhi madaraka ya kisiasa.
 
Huyo mpuuzi hata jiwe angebafilisha Jimbo la kigamboni kuwa kata na kukiita kishtobe chake toka koromije pmakonda njoo huku Kuna kata mpya ugombee udiwani naapa wakaazi wa CCM kigamboni wasingempa kwenye kura za maoni.
 
Polisi, Msajili, NEC, TISS, wote wanahangaika na mtu mmoja(LISSU), halafu huyu anaongea ujinga gani sijui!
Rais wa nchi kutoka chadema KAMA nchi italaaniwa na Mungu basi nafikiri ndio wazazi wake wanapanga watumie staili gani awe conceived...
Hawa wa sasa ni janja janja tu za ruzuku, hamna kitu
 
Back
Top Bottom