Short n clear😊Makonda Arusha hatukutaki.
Ubunge umelazimisha ili uwe Waziri.
Get the he'll out of Arusha.
Kumbe una akili.Makonda Arusha hatukutaki.
Ubunge umelazimisha ili uwe Waziri.
Get the he'll out of Arusha.
wachaga rudini kwenu Kilimanjaro rudisheni huo mji Kwa wamasai wenye mji
mliwezeje kumpa ubunge unayemtajaUjinga mzigo.
Akili yako unaamini kulikuwa na uchaguzi !.mliwezeje kumpa ubunge unayemtaja
Wakati wanauchukua hao wamasai walikua wapi?wachaga rudini kwenu Kilimanjaro rudisheni huo mji Kwa wamasai wenye mji wao
wachaga wasikuhizi nyie mmekua warembosana enzi za wachaga kweli lalamiko lako usingeleta hapa punguzeni kunywa visunguraAkili yako unaamini kulikuwa na uchaguzi !.
Tayari Chawa kaanza kutoa mlio wenye sauti kubwa chawa kwani DAB kakufanyaje haujui kua huyo ni best friend wa yule unaempigia mapambio humu au umeshasahau?Makonda Arusha hatukutaki.
Ubunge umelazimisha ili uwe Waziri.
Get the he'll out of Arusha.
Si aliwachinjia Ng'ombe 400 kwa siku 1 au mmeshamsahau?Arusha Bashite kanunuwa magari na Bentley, kajenga maa apartments, kapata uwaziri, kala kodi za raia bila woga!
Hata Arnold Schwarzenegger hakuletwa!
Waa Arusha wamezinduka!
Walikula ng'ombe 400 sasa hivi ndio usingizi umeanza kuwatoka na zile nyama watarudisha?Mmeshakula nyama choma,landrover festivo,kina anodi na maparashut sasa leo hamumtak tena