The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 2,434
- 3,679
usuingie tena humu utakula ban kweliMods naomba mfute huu Uzi kila nikiuona nahis kupigwa Ban [emoji35][emoji35]
Duh... Na sisi wapagani vp?Uzuri Rais ajaye lazima awe Muislamu kama ilivyo Nchi hii ni ya Wakatoliki na Waislamu ni Marufuku Muagrikana, KKT kushika nchi.
halafu Waziri mkuu anakuwa JPM, patamu hapoNamkubali sana huyu kijana japo natamani agombee urais mwaka 2025 kwa tiketi ya ukawa nadhani anaweza kufanya makubwa sana kuliko akiwa ccm ujasiri alionao na uthubutu wake wa kufanya mambo ndiyo silaha mhm ktk uongozi.
mtoa mada naomba unitajie mpaka sasa makonda kaifanyia lipi kubwa mkoa wa dar kiasi cha kustahili hizo sifa za kuwa rais ajaye???Namkubali sana huyu kijana japo natamani agombee urais mwaka 2025 kwa tiketi ya ukawa nadhani anaweza kufanya makubwa sana kuliko akiwa ccm ujasiri alionao na uthubutu wake wa kufanya mambo ndiyo silaha mhm ktk uongozi.