Makonda ni mjenga hoja mzuri

Makonda ni mjenga hoja mzuri

Mtasema sana mtalalama sana hadi mapovu yatawatoka mdomoni, mkubali msikubali, mpende msipende, PAUL MAKONDA ndiye mkuu wetu wa mkoa, wewe pamoja na digrii zako kama unazo, hujapewa hata ubalozi wa shina. Acheni kijana wetu afanye kazi, Mh. acha kusikia la watu, wao watasema usiku watalala wewe CHAPA KAZI.
Big up sana mkuu.. waambie hao..
 
Kijana machachari Makonda anaweza kujenga hoja kwa njia rahisi ikawafikia kila rika.Tazama alivyomwaga facts


Screenshot_20170606-213928.jpg

Amebebwa na baba yake!!!!
 
Back
Top Bottom