Makonda ni mjenga hoja mzuri

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
36,937
2,000
Kijana machachari makonda anaweza kujenga hoja kwa njia rahisi ikawafikia kila rika
Tazama alivyomwaga facts

Nakubaliana nawe 100% ila tu afanyie Kazi sana nidhamu yake na apunguze sana kuendekeza Ujana ambao nadhani ndiyo umemgharimu. Ajikite sana katika kutafuta busara na hekima kutoka kwa Wazee au Wakubwa zake au wale waliomtangulia. Ni mpambanaji mzuri mno ila sifa yake hiyo imepotezwa na matukio yake ya kushtua na kusikitisha aliyoyafanya huko nyuma na ambayo hadi sasa yanaendelea kumgharimu. Hakuna kitu ambacho Paul Makonda kingemsaidia na hata kutusahaulisha Sisi Watanzania kama baada ya Kukengeuka / Kukosea kwa yote yale basi haraka sana angetuomba radhi Watanzania ila Utoto, Ujana na Kiburi chake cha kufanikiwa Kimaisha Ukubwani ndivyo vimemgharimu.
 

BEHOLD

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
5,037
2,000
Hoja za Makonda, baada ya hili kuiba cheti na kumdanganya muajiri na akadanganyika na kulainika, huwa nazishikiliza kwa tahadhari kubwa sana!
 

Kisu Cha Ngariba

JF-Expert Member
Jun 21, 2016
22,187
2,000
Mtasema sana mtalalama sana hadi mapovu yatawatoka mdomoni, mkubali msikubali, mpende msipende, PAUL MAKONDA ndiye mkuu wetu wa mkoa, wewe pamoja na digrii zako kama unazo, hujapewa hata ubalozi wa shina. Acheni kijana wetu afanye kazi, Mh. acha kusikia la watu, wao watasema usiku watalala wewe CHAPA KAZI.
Natumikia taifa langu kwa roho nyeupe na ninapewa heshima zaidi ya Baba yako anayopata.
 

MZEE MSASAMBEGU

JF-Expert Member
Apr 19, 2013
2,786
2,000
Idadi ya wanafunzi wa vyuo wanaokosa mikopo imeongezeka unasema unaelewa nchi inapoelekea????? Hakuna nyongeza ya mishahara wala kupanda vyeo kwa wafanyakazi unasema unajua nchi inapoelekea unaakili wewe??Rambirambi ckuhz ndo zimekuwa chanzo cha mapato ya serikali alafu taahira moja lililopata division zero linakuja linadai linajua nchi inapoelekea....nyingine ongezeeni wadau
 

MENGELENI KWETU

JF-Expert Member
Oct 23, 2013
8,864
2,000
Angefaulu darasa la 7.
Mtasema sana mtalalama sana hadi mapovu yatawatoka mdomoni, mkubali msikubali, mpende msipende, PAUL MAKONDA ndiye mkuu wetu wa mkoa, wewe pamoja na digrii zako kama unazo, hujapewa hata ubalozi wa shina. Acheni kijana wetu afanye kazi, Mh. acha kusikia la watu, wao watasema usiku watalala wewe CHAPA KAZI.
Akili yako finyu sana..
Kwani sisi wote ni wakazi wa Dsm au Tanzania??
Semea nafsi yako.. Ni Mkuu wako wewe mwenyewe wa Mkoa.
Adui ujinga shida sana kummaliza.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom