Makonda ni Magufuli ajaye

Makonda safi Sana amewanyoosha watetea mafisadi chadema mpaka hawana hoja ya maana kwa sasa mbele ya wananchi.

Walichobakiza ni kupinga kila kitu,!!!
 
Tunamshukuru mh Rais kwa kuupigilia msumari wa moto kwenye kidonda cha waingiza,wasambazaji na watumiaji wa madawa ya kulevya......
 
Kapokea baraka zote kutoka kwa mkulu wa kaya
 
Sasa ni miaka 5 imeshapita toka nizungumzie suala hili kua Makonda ni Magufuli ajaye, wengi mlinipinga kwa kejeli.
Sasa ni miaka 5 bado nawaambia Makonda ni Magufuli wa sasa kwamba Makonda ana msimamo kama Rais magufuli anasimamia kauli zake sio kigeugei hakika ni kiongozi,kiongozi anazaliwa kuongoza sio kuiga uongozi.Kama wewe unaendelea kubisha ni shauri yako.
Kiwango cha ukuu wa mkoa hakimtoshi Makonda,Mh Makonda alipaswa kua kwenye ngazi fulani hivi ya kufanya mamuzi magumu ila ngoja kwanza Mh Magufi aamue juu yke coz he is genious..God bless sir Makonda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe ni ugoro kwelikweli

let me tell you BASHITE akipewa nchi atapinduliwa ndani ya nusu saa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ugoro uliopo kichwani mwako umejipambanua kupitia post yako,
 
Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze... - JamiiForums
P
 
Hao wengine ANGALAU wana vyeti (vyao) na majina yao ni halisi. Hivyo kwenye UONGOZI wanaweza kujadilika. Lakini Makonda angeweza kufaa zaidi kuongoza kikosi cha askari wa kukodiwa (The dogs of war)
Wapo vijana wenye maono ya mbali na wasiotereshwa na propaganda za wapinzani hapa ndipo unamkuta NAPE,MWIGHULU,MAKONDA,JANUARY na wengine hakika utawala wa tano tumewabahatisha viongozi
 
Mwandishi umechanganyikiwa,,, nitajie jambo lipi ambalo makonda ameanzisha na limeisha Kama unajua,,,, zawadi za usafi,, kupima tezi dume,,madawa ya kulevya,, wajane,, kesi za ardhi,,, YOTE amefeli,,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tehee hivi alishatoa gari kwa mwenyekiti ambae mtaa wake uliongoza kwa usafi Dar na mwenyekiti ambae mtaa wake mchafu alimtaja...Mzee wa kuwakamata wanaostarehe gesti. Jamaa Uongozi anaupenda ila Uongozi haumpendi
Hajawahi fanikiwa kwa lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…