Makonda naomba kukukumbusha

SONGOKA

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
1,841
1,843
"Sisi ndio wenye nchi,watoto wetu wanauza madawa ya kulevya nani wa kuwakamata?" QUOTE

kama kweli mko serious mbona huyu mzee aliyekili hadharani hamkumuita kumuhoji ili awataje hao watoto zao.
 
Kama mmeweza KUMTETEA MBOWE na KUWATETEA hao WENGNE waliotajwa MTASHINDWA vipi kumtetea hata huyu unaesema AKAMATWE?????????......asilimia KUBWA ya WATANZANIA bongo zenu mmewakabidhi wanasisa kuwa saidia kufikiri na kuwasemea.......LEO MNATAKA HILI BUT LIKITEKEREZWA mnaamisha GIA na kuanza kupinga mlichokuwa mnakihitaji.....UFISADI.....MATUMIZI MABAYA YA MADARAKA.....MADAWA YA KULEVYA as a reference
 
MKUU NANI KAMTETEA MBOWE?? na nani kakwambia kuwa utetezi wa mitandaoni una nguvu ya kufuta kesi za JINAI??
pia huyu mzee aliwahi kukili hadharani, so kesi yake ni very strong kuliko mbowe
 
Hachana na ilo shoga, limeshahemkwa.... linaARGUE kama mama ntilie
 
Kama mmeweza KUMTETEA MBOWE na KUWATETEA hao WENGNE waliotajwa MTASHINDWA vipi kumtetea hata huyu unaesema AKAMATWE?????????......asilimia KUBWA ya WATANZANIA bongo zenu mmewakabidhi wanasisa kuwa saidia kufikiri na kuwasemea.......LEO MNATAKA HILI BUT LIKITEKEREZWA mnaamisha GIA na kuanza kupinga mlichokuwa mnakihitaji.....UFISADI.....MATUMIZI MABAYA YA MADARAKA.....MADAWA YA KULEVYA as a reference
Bange hizo! hivi kwanini hata mara moja huwezi kuandika kama mtu mwenye akili timamu? hakuna aliyemtetea mbowe! tulichokuwa tunapinga ni style ya kutaja majina bila kufanya uchunguzi. Kumbuka kesi zitafunguliwa na watashinda na na sie ndo tutalipa!
 
Back
Top Bottom